Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nlisema sianzi Adamas
Nimeianza aweee embu mkaribie tupate homa ya ongoin

Alaf kumbe yule mzee wa vagabond lee kyoung sijui ana skendo ya prostittution with minor, so ni villain even in real world jaman

People wish to cancel Adamas ila ndo imejaa makonk
Skendo ni ya miaka mingi hiyo alishapigwa Ban ya kuonekana kwenye zile tv zote Korea.

Ila suala lilishaisha ndio maana yupo mzigoni sasa kama kawaida
 
Ukitoka kutumia bando la kawaida ukaja kwenye mseleleko kama sio mvumilivu hautawezana na mseleleko hivyo wengi wanakua na mhaho wa muda yakiwashinda wanarudi kwenye bando
Kuna mwana kapandisha uzi huko anaeleza kwa kujitapa kuwa hanunui tena bando kapata kitonga cha HA TUNNEL, nina wasiwasi hiki kitonga chetu hakichukui round kitapigwa PIN.

Sijui kwanini watu huwa hawawezi kustay low.
 
Back
Top Bottom