Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kabisa ile Nov vifurushi vimepanda na ha tunnel siijui aah nlikua nafaunga safar kweny ofis za wenyew kupata wi-fi hahah na stock ilikuwepo


Ni maradh haya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi ha tunnel nyumbani kwangu inazingua sasa hivi kwa hiyo nikitaka kudownload ile seriously natoka naenda natafuta sehemu ambayo pana spidi kubwa. Leo nimefika kwenye nyumba ya mtu nikakaa kibarazani (haishi mtu lakini bado inajengwa) watu wanapita wanadhani namsubiria mtu kumbe niko busy na kimoi tv[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikitaka kupakua tena natafuta kijiwe kingine maana nikienda palepale si nitashikwa uchawi mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila spidi ya pale balaa
 

[emoji23][emoji1787][emoji1787] uambiwe unafukia dawa nyumba isiishe shauri yako hahah

Yani kwakweli ni ni mateso ya faraja

Saiv nataman kijiwe kinachopiga nyimbo za kikorea hahaha, mziki wa kupeleka mbio mapigo ya moyo

Kwakweli ost na miziki ya wakorea zaman mizuri sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh?
Kiukweli muziki wa kikorea sina mzuka nao kiviilee. Raha ya wimbo uwe unaweza kufuatisha pale unapoimba, sasa kikorea unafuatishaje? Unaambulia maneno machache kama saranghae, bogoshipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamekua ka ugonjwa sasa mtu unadownload tu hujui utaangalia lini
Mmelewa kitonga nyinyi[emoji23], Mb za kununua ili uanze kuishusha drama aisee ni lazima upite kila kona kukiridhisha kama yaliyomo yamo.
 

Ilianza kama utani Dae alinitambulisha hii variety ya Masked Singer

Uwii saivi nafatisha fatishaa eti hahah

Na kuangalia subtitle za nyimbo basi najikuta nazieeleeewa[emoji1787]
 
Nlisema sianzi Adamas
Nimeianza aweee embu mkaribie tupate homa ya ongoin

Alaf kumbe yule mzee wa vagabond lee kyoung sijui ana skendo ya prostittution with minor, so ni villain even in real world jaman

People wish to cancel Adamas ila ndo imejaa makonk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…