[emoji1787][emoji1787] mimi mtanisamehe kwa kweli, huwa nasikiliza moja moja sanaIlianza kama utani Dae alinitambulisha hii variety ya Masked Singer
Uwii saivi nafatisha fatishaa eti hahah
Na kuangalia subtitle za nyimbo basi najikuta nazieeleeewa[emoji1787]
Mtandao gani wa simu unasupport hicho kitonga cha tunnel?
(Najua imeongelewa sana ila ningependa kupata muongozo kama hamtojali)
Mmelewa kitonga nyinyi[emoji23], Mb za kununua ili uanze kuishusha drama aisee ni lazima upite kila kona kukiridhisha kama yaliyomo yamo.
Nyingine ni KINGDOM.
Ni mimi ndio nilieleta humuKuna mtu alileta recommendations humu nikaruka nayo.
Skendo ni ya miaka mingi hiyo alishapigwa Ban ya kuonekana kwenye zile tv zote Korea.Nlisema sianzi Adamas
Nimeianza aweee embu mkaribie tupate homa ya ongoin
Alaf kumbe yule mzee wa vagabond lee kyoung sijui ana skendo ya prostittution with minor, so ni villain even in real world jaman
People wish to cancel Adamas ila ndo imejaa makonk
Skendo ni ya miaka mingi hiyo alishapigwa Ban ya kuonekana kwenye zile tv zote Korea.
Ila suala lilishaisha ndio maana yupo mzigoni sasa kama kawaida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Joseon Psychiatrist sipati pichaPoong The Joseon Psychiatrist
Nadhani nitaenda nayo hadi inaisha,ndani ya wiki ya kwanza nimeipenda sana
BarikiwaSehemu nyingine ya kutolea mafile search Somoletu telegram
Barikiwa
Line ya TTCL sina ila kwakua nimedhamiria kupata kitonga, nitaifuta kesho na nitakuja moja kwa moja PM.Kama una application ya telegram na laini ya ttcl njoo PM nikufundishe bure kabisa. Ofa kwa ajili yako tu
Ni nzuri sana eeh?Poong The Joseon Psychiatrist
Nadhani nitaenda nayo hadi inaisha,ndani ya wiki ya kwanza nimeipenda sana
Nenda kasajili bwana mimi nakuonea huruma kutumia bando na lilivyopanda beiLine ya TTCL sina ila kwakua nimedhamiria kupata kitonga, nitaifuta kesho na nitakuja moja kwa moja PM.
ASANTE KWA OFA Mkorea mweusi[emoji23][emoji3590].
Kuna mwana kapandisha uzi huko anaeleza kwa kujitapa kuwa hanunui tena bando kapata kitonga cha HA TUNNEL, nina wasiwasi hiki kitonga chetu hakichukui round kitapigwa PIN.Nenda kasajili bwana mimi nakuonea huruma kutumia bando na lilivyopanda bei
Kuna mwana kapandisha uzi huko anaeleza kwa kujitapa kuwa hanunui tena bando kapata kitonga cha HA TUNNEL, nina wasiwasi hiki kitonga chetu hakichukui round kitapigwa PIN.
Sijui kwanini watu huwa hawawezi kustay low.
Kuna mwana kapandisha uzi huko anaeleza kwa kujitapa kuwa hanunui tena bando kapata kitonga cha HA TUNNEL, nina wasiwasi hiki kitonga chetu hakichukui round kitapigwa PIN.
Sijui kwanini watu huwa hawawezi kustay low.