Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Jioni ya leo nimeanza na Mimicus

Baada ya kumaliza bad mouth Ep 14 na Kings Affection

Nina viporo vya kutosha
Adamas kuanzia ep ya 10
Poong ep ya 5
Variety I Live Alone na Masked singer kama kama

Music
Nimeshusha
Trip ya cho yong pil
Violeth fragrance ya kang susie na
round round ya Na mi
 
Wow, nimeanza kukuogopa.
Huyu mzee umemjuaje?

Kuna wimbo wake unaitwa the winter tea house naupenda sana


Nikisikiliza masked singer nyimbo inayorudiwa sana au ikisikika poa naenda kuishusha

Huyu Mzee wanaiimbaga sana hii trip
Juzikati ndo nimefanikiwa kuipata, pamoja na ile ya Busan night. Basi ziko on replay

Mbona nashindwa kui download hiyo hapo juu[emoji45]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hapo namba mbili na mimi nilisema hapa, wanafurahisha sana. Ila huyo mkuu wa Songrim bure kabisa [emoji1787][emoji1787] ana akili tu za kuongoza ila kwenye maswala yetu mengine yupo slow hadi anatia huruma
 
Weekend tamu ndani ya Be my dream family episode 120 complete. Nipo episode ya 17
Numbisa una familia ya watoto wangapi?

Isije ikawa watutamanisha kila wiki kuangalia family drama haliyakuwa wewe mwenyewe hata mtoto wa mkopo huna.

Sijui unavikumbuka vituko vya wale watoto kupitia drama ya what happened to my family.

teh teh teh
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Baba chico bana,mie ninao watatu halafu sasa nimeolewa na mbaba mwenye watoto watatu na wajukuu watatu raha sana ndani be my dream family full kuvurugana. Tangu niingie ulimwengu wa family drama nimeona vituko vingi what happened to my family ile ni trela tu aisee wakorea wana mambo mengiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Numbisa una familia ya watoto wangapi?

Isije ikawa watutamanisha kila wiki kuangalia family drama haliyakuwa wewe mwenyewe hata mtoto wa mkopo huna.

Sijui unavikumbuka vituko vya wale watoto kupitia drama ya what happened to my family.

teh teh teh
 
Hiyo ya kwako wewe itakuwa ni wang family drama, unalea mpaka vitukuu
Umekuwa bibi bombaaa

 
Huwa inatokea nikiona hivyo naingia you tube kushangaa shangaaa maajabu ya huko.

Bookmark yangu ina again my life,

why her

Big mouth

Cafe minamdang

Beating again

Link:eat,love,kill

Cleaning up

Poong the joseoan psychiatrist

Bado sijazivuta complete wala kuangalia
Nina access ya internet bure kwa siku 6 za wiki, mzuka wa kushusha drama umeniondoka nafsini mwangu.

Aliyeniroga anirogue, hii si tabia yangu kabisa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…