Si umtafute numbisa PM akupe mafunzo.Wang's family niliiona startimes nikaiangalia baadae nikaimalizia mtandaoni, ila mimi family drama nazipenda tatizo urefu. Ile bravo my life nahisi ni nzuri sana ila sithubutu kuichokoza[emoji16]
Huwezi kuiona raha ya kuangalia hizo drama mpaka itakapofika episode ya 30ππππππHuu ulimwengu i ni full burudani
Wang's family niliiona startimes nikaiangalia baadae nikaimalizia mtandaoni, ila mimi family drama nazipenda tatizo urefu. Ile bravo my life nahisi ni nzuri sana ila sithubutu kuichokoza[emoji16]
Kwa sababu umeisifia ngoja niitafute.Nimemaliza Extraordinary attorney woo. Nimeipenda kwa kweli...nilianza kucheka mwanzoni kabisa pale alipoenda ofisini kakutana na revolving doors akajaribu kuingia kazunguka na mlango akajikuta yupo nje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yule binti ameupiga mwingi Sana, navuta muda kidogo nimuangalie tena kwenye King's affection
Kwani mume wake ni Kang ki young? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama sio huyo awe na amani, sipo interested na mtu mwingine ambaye sio bwana KangNimekumbuka, hapo juu amesema ana mume mwenye watoto watatu wa mama mwengine.
Khofu yake utamuibia mume wake.
Kama unavyotaka kumpokonya tonge mke wa kang ki young
Usisahau mrejeshoKwa sababu umeisifia ngoja niitafute.
Tokea nikutane na taarifa za wenye usonji kwenye dodoso la sensa ndio nimezidi kuvutiwa na maigizo yanayowazungumzia waathirika wa ugonjwa huo.Usisahau mrejesho
Bado unasumbuka kupakua(download)?
Kwenye list yako nimeuona wimbo wa mfalme wa ballad songs nchini korea.
Distant memory of you ulioimbwa na park hyo shin.
Kumbe autism kwa kiswahili ndio inaitwa usonji...huku 'kwetu' nimewaona kwenye drama nne... Woo young woo, Park si on (Good doctor), Sang tae (it's okay not to be okay) na Undercover yule nimemsahau jina lakeTokea nikutane na taarifa za wenye usonji kwenye dodoso la sensa ndio nimezidi kuvutiwa na maigizo yanayowazungumzia waathirika wa ugonjwa huo.
Wengi wao wanakuwa na vipaji
Zama hata google kutafuta au hata ilkpop.com huwezi kosa ladha hiziKwenye jf ndo nashindwa kupakua vitu ndio
Pakua Telegram tu mkuu..then chukua hivo vidokezo vya link utazipata zote...hata ukiandika ru KEREAN DRAMA yatakuja machaguo mengime naweza vipi ku download hizi drama kwenye computer!?
Nimemaliza Extraordinary attorney woo. Nimeipenda kwa kweli...nilianza kucheka mwanzoni kabisa pale alipoenda ofisini kakutana na revolving doors akajaribu kuingia kazunguka na mlango akajikuta yupo nje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yule binti ameupiga mwingi Sana, navuta muda kidogo nimuangalie tena kwenye King's affection
Pakua Telegram tu mkuu..then chukua hivo vidokezo vya link utazipata zote...hata ukiandika ru KEREAN DRAMA yatakuja machaguo mengi
Yeah ile nayo niliipenda...na ile salamu na rafiki yake nilijikuta naikariri halafu niko peke yangu naitamka[emoji16][emoji16][emoji16] naishia kujicheka hivi ndio nishakuwa zuzuMie nilipenda alipokua anahesabu kabla ya kuingia room yoyote. Na alipokua anampa makavu bosi wake huku kajikausha kama sio yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]