Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wang's family niliiona startimes nikaiangalia baadae nikaimalizia mtandaoni, ila mimi family drama nazipenda tatizo urefu. Ile bravo my life nahisi ni nzuri sana ila sithubutu kuichokoza[emoji16]
Si umtafute numbisa PM akupe mafunzo.
au ukahamie nyumbani kwake muwe munaangalia pamoja family drama
 
Bravo nipo nayo episode ya 109 sasa. Ila family dramas nzuri ni zile sana sana zinazoishia episode 50. Tena iwe inajumuisha members wengi wa familia na sio adui na stering mmoja mwanzo mwisho
Wang's family niliiona startimes nikaiangalia baadae nikaimalizia mtandaoni, ila mimi family drama nazipenda tatizo urefu. Ile bravo my life nahisi ni nzuri sana ila sithubutu kuichokoza[emoji16]
 
Nimemaliza Extraordinary attorney woo. Nimeipenda kwa kweli...nilianza kucheka mwanzoni kabisa pale alipoenda ofisini kakutana na revolving doors akajaribu kuingia kazunguka na mlango akajikuta yupo nje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yule binti ameupiga mwingi Sana, navuta muda kidogo nimuangalie tena kwenye King's affection
 
Kwa sababu umeisifia ngoja niitafute.
 
Nimekumbuka, hapo juu amesema ana mume mwenye watoto watatu wa mama mwengine.

Khofu yake utamuibia mume wake.
Kama unavyotaka kumpokonya tonge mke wa kang ki young
Kwani mume wake ni Kang ki young? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama sio huyo awe na amani, sipo interested na mtu mwingine ambaye sio bwana Kang
 
Tokea nikutane na taarifa za wenye usonji kwenye dodoso la sensa ndio nimezidi kuvutiwa na maigizo yanayowazungumzia waathirika wa ugonjwa huo.

Wengi wao wanakuwa na vipaji
Kumbe autism kwa kiswahili ndio inaitwa usonji...huku 'kwetu' nimewaona kwenye drama nne... Woo young woo, Park si on (Good doctor), Sang tae (it's okay not to be okay) na Undercover yule nimemsahau jina lake
 
Mie nilipenda alipokua anahesabu kabla ya kuingia room yoyote. Na alipokua anampa makavu bosi wake huku kajikausha kama sio yeye. 😂😂😂😂😂
Nimemaliza Extraordinary attorney woo. Nimeipenda kwa kweli...nilianza kucheka mwanzoni kabisa pale alipoenda ofisini kakutana na revolving doors akajaribu kuingia kazunguka na mlango akajikuta yupo nje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yule binti ameupiga mwingi Sana, navuta muda kidogo nimuangalie tena kwenye King's affection
 
Mie nilipenda alipokua anahesabu kabla ya kuingia room yoyote. Na alipokua anampa makavu bosi wake huku kajikausha kama sio yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ile nayo niliipenda...na ile salamu na rafiki yake nilijikuta naikariri halafu niko peke yangu naitamka[emoji16][emoji16][emoji16] naishia kujicheka hivi ndio nishakuwa zuzu
 
Back
Top Bottom