Yeah ile nayo niliipenda...na ile salamu na rafiki yake nilijikuta naikariri halafu niko peke yangu naitamka[emoji16][emoji16][emoji16] naishia kujicheka hivi ndio nishakuwa zuzu
Hii website imenivutia kwa sababu ya kuweka kwao poster kwa kila wimbo.Zama hata google kutafuta au hata ilkpop.com huwezi kosa ladha hizi
Yah website special hii nimeanza kutumia 2017 enzi hizo walikuwa kuna sehemu wana list ya dramas ukitaka ost flani unapata kirahisiHii website imenivutia kwa sababu ya kuweka kwao poster kwa kila wimbo.
Thanks kwa kushare nasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikomaa hatari, halafu writers waache kumchulia babe wangu... kwenye secretary Kim alikuwa divorced na huku tena divorced mwishowe pepo la divorce litaanza kumfuatilia[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]drama nzuri sana. Safari ya jeju ilipendeza hasa actor wako alivyoipania na pamba zake kali kumbe safari nzima hamu yake ni kula tambi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikomaa hatari, halafu writers waache kumchulia babe wangu... kwenye secretary Kim alikuwa divorced na huku tena divorced mwishowe pepo la divorce litaanza kumfuatilia[emoji16][emoji16]
Kuna watu wakiigiza vyovyote wanapendeza, ila huyu akiigiza roho mbaya wala hapendezi...ila natamani nimuone kwenye action pia anakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nae anazikubali tu hizo nafasi na anaziwezea vizuri
Amegeuka mkojani, filamu zote amegeuzwa mpiga kelele kama muongoza mnada wa ndizi sokoni๐๐๐๐๐๐๐๐nae anazikubali tu hizo nafasi na anaziwezea vizuri
Zile si anajitengenezea mwenyewe [emoji1787][emoji1787]Amegeuka mkojani, filamu zote amegeuzwa mpiga kelele kama muongoza mnada wa ndizi sokoni
Zama hata google kutafuta au hata ilkpop.com huwezi kosa ladha hizi
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]drama nzuri sana. Safari ya jeju ilipendeza hasa actor wako alivyoipania na pamba zake kali kumbe safari nzima hamu yake ni kula tambi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanamsifia eti kapendeza wakati mimi niliona kapuyanga...hata kama ndio kulinda ugali sio kwa kumdanganya kule mwenzao[emoji1787][emoji1787]Alafu ile nyimbo wameipiga pale sio afrobeats... kavunja kabati la vacation boss wakati wengine wampegilia suti
Weekend tamu ndani ya Be my dream family episode 120 complete. Nipo episode ya 17
Unastaili upewe uraia wa Korea ep120๐ฎ๐ฎ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanamsifia eti kapendeza wakati mimi niliona kapuyanga...hata kama ndio kulinda ugali sio kwa kumdanganya kule mwenzao[emoji1787][emoji1787]
Tufichie siri zetu๐๐๐๐๐mbona ndogo,kuna watu humu wameshaangalia za episode 200+
Tufichie siri zetu
Hii hatari sasa๐๐๐๐๐mbona ndogo,kuna watu humu wameshaangalia za episode 200+
Muigizaji yupi msaidiz8 hujawahi kumuona ndani ya drama.
Wakorea na vipaji vyao mchanganyiko