Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
🤣🤣😂😂😂😂drama nzuri sana. Safari ya jeju ilipendeza hasa actor wako alivyoipania na pamba zake kali kumbe safari nzima hamu yake ni kula tambi tu
Yeah ile nayo niliipenda...na ile salamu na rafiki yake nilijikuta naikariri halafu niko peke yangu naitamka[emoji16][emoji16][emoji16] naishia kujicheka hivi ndio nishakuwa zuzu