DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
wanahitaji na pia kustahilí kutambuliwa na jamii ya wapenda sanaa ya maigizo kwa sababu ya mchango wao mkubwa wanaoutoa, bahati mbaya sana jamii ya wapenda sanaa huwaangalia zaidi waigizaji wakuu.Nilikutana nayo youtube ikabid nishushe OG song awww wakorea bhana wana vipaji
nadra kumshuhudia muigizaji mkuu akiigiza drama zaidi ya moja kwa mwaka tofauti na hao waigizaji wasaidizi ambao baadhi yao huonekana zaidi ya mara moja kwa mwaka kwenye mboni zetu.
baadhi ya nyakati hufikia hatua najiuliza
"hivi huyu bwana au bibi fulani kwenye kalenda yake ya maisha hakuna tarehe ya mapumziko, wengi wao wanakuwa ni workholic"
mfano bwana huyu, Lee Kyoung-Young
sijui ameshashiriki drama ngapi kwa mwaka huu
heshima kwao supporting actors wote