Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mdogo mdogo files zimeanza kupigwa pini
Vijana wa Facebook wangese sana mtu anaenda kutambisha hadi slow dns ya 8.8.8.8 nayo ikapigwa pini ilitusogeza sana YouTube.

Wengine wakatengeneza hadi channels zao halafu wanajikuta IT kumbe waburn cd na kuingiza seasons[emoji23]
 
Yaani vijana jamii ya Facebook sijui wakoje kila kitu wanaleta gundu tu . Utawakuta telegram daily wakiomba files na vpn,wakishazipata tu wanaenda kuchomesha fb. Imagine phispon vpn eti watu walienda hadi ofisi za halotel kutaka waungiwe hio huduma
Vijana wa Facebook wangese sana mtu anaenda kutambisha hadi slow dns ya 8.8.8.8 nayo ikapigwa pini ilitusogeza sana YouTube.

Wengine wakatengeneza hadi channels zao halafu wanajikuta IT kumbe waburn cd na kuingiza seasons[emoji23]
 
Nyieeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimecheka mwenyewe ila nimeona niwashirikishe ndani ya family drama be my dream family kuna jamaa kaigiza ka director wa drama kaoa mke ambaye pia muigizaji sasa katika harakati akajikuta mkewe yupo ndani ya drama yake halafu kuna kiss scene. actor aliuliza kabisa kama director hatamaindi kwenye hizo scene director akajibu yeye yupo professional zaidi. Siku ya scene yenyewe ile wameanza kukumbatiana director akaanza kutetemeka kisiri siri huku kaikamatia kwa nguvu penseli,ile wamesogeleana waanze kiss director akaanza kutetemeka zaidi uvumilivu ukamshinda akapiga kelele cut huku akiwalaumu wahusika wamekosea bila kuwaambia walipokosea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji23][emoji23][emoji1787] natamani nione ila usikute ni episode ya 44 hukoo
Em nijituliee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ