Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Humu ndo nilipo fall completely kwa My beb Kim seonho, alinyanyasika sana[emoji26][emoji24]
Mimi ukiniambia nitaje character tano bora za Kim seon ho list itakuwa
1. Han ji-pyeong
2. Han ji-pyeong
3. Han ji-pyeong
4. Chief Hong
5. 100 days my prince (nimesahau jina)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakunyanyasika bwana ye ndio alikuwa ananyanyasa wenzie
 
Sept 23 mapema kabisa
Nimeshusha ep 1 na haijaisha kwa kutegemea kitonga

Nashindwa kujimwambafy kabisa

Sema hili suruali lako la joseon era umpe Numbisa,Al hadid na Mac ndo Mguu mmoja utawatosha kwa genre zao

Mimi ndo nipo kwenye zile kamba za makofia ya Noble family [emoji1787]
Bae Nam goo min atatizamwa with all means
Alongside na Little women Na Blind

Narco saint imeisha huyu Pastor na Park haeso wametisha sana
Kwenye NARCO SAINTS huyu pastor kavaa uhusika vizuri sana na kuna funzo kubwa wametoa juu ya watu wenye utajiri mkubwa ambao huwa wanapenda kuonekana humble sana mbele za watu, jinsi drama ilivyoanza sikutegemea kabisa kama Pastor ndo alivuruga ile biashara ya PARK INGU[emoji1].
 
Jeshi limewapenda zaidi.
p_6838416613441457633062_0_aab04b5721700089b881fa6abe62927d.jpg
 
Kwenye NARCO SAINTS huyu pastor kavaa uhusika vizuri sana na kuna funzo kubwa wametoa juu ya watu wenye utajiri mkubwa ambao huwa wanapenda kuonekana humble sana mbele za watu, jinsi drama ilivyoanza sikutegemea kabisa kama Pastor ndo alivuruga ile biashara ya PARK INGU[emoji1].

Mimi pia
Nilihis wale wajeda
Ila nimependa ilivyo short paced
Ep 2 mambo wazi
Yoon yo seok kafa kizembe jaman
Pastor alimpenda tu ingu ila alitakiwa am doubt mapema ujio wake na mabalaa
Au ndo ile msemo wa waswahil tamaa mbele mauti nyuma
 
Mimi ukiniambia nitaje character tano bora za Kim seon ho list itakuwa
1. Han ji-pyeong
2. Han ji-pyeong
3. Han ji-pyeong
4. Chief Hong
5. 100 days my prince (nimesahau jina)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakunyanyasika bwana ye ndio alikuwa ananyanyasa wenzie

[emoji1787][emoji1787] kimapenzi aliteseka
Yupo vizuri
Bado action movie sasa
 
Huyu alipitiliza kwenye nevertheless [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila muda jamani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wale jamani walikuwa wamefanya kama chakula. Nilikuwa namuonea huruma sana yule dada japo nilijaribu kuvaa viatu vyake nikamuelewa vizuri [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom