Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Alchemy Of Souls Season 2 bado inapikwa December mbali
k.a_innsoo-28092022-0001.jpg
 
Welcome to wedding hell ni kadrama fulani hivi kana nembo ya Netflix.

Humu wameelezea mazito wanayokutana nayo maharusi wa kikorea. Hasa wakaka duh maana wana mizigo ya suprise engagement,wakishamalizana wao kwa wao wanakuja kikao na wazazi wao hapo malumbano yanaibuka waliingia kwa tabasamu ila wengi wanatoka wamenuna

Nimeelewa dowry(mahari za kikorea)ni za pande zote. Hapa binti maskini aolewe na chaebol au kijana maskini aoe chaebol ataipata pata fresh. Maana upande wenye hela wataenda kununua vitu vya bei kubwa kama zawadi kwa upande mwingine,hivyo na upande mwingine unatakiwa kutoa zawadi kubwa pia. La sivyo atakayetoa ndogo ataishi kwa masimango daima.

Na maharusi walivyo na mhaho nao waanza kusaka makochi mapya vitanda etc gharama juu ya gharama mpaka harusi inatokea wanakua wamechooka. na vile wana akili kama za manara talaka nje nje

NB wakorea ni shida ati wana friji special kwa ajili ya kimchi😂😂😂😂
 
Hakuna drama yoyote ya korea ambayo inawaonyesha kama heavy users wa simu zao za mikononi, mara nyingi eti mtu hana tima kabisa na simu zaidi ya kupokea na kusoma txt tu na hapo ni maongezi mafupi sana.

Kila mkorea huwa hana muda kabisa na simu[emoji1]
 
Sio tu muda wa simu hata video hawana muda nayo wanaangalia breaking news tu kisha kideo kinazimwa. Laptop hawazimi(logout)wanaifunga tu

Hilo swala la kuzima TV baada ya breaking news ni kama huwa wanasubiria habari tu ili wazime TV[emoji23].

Kila akisemwa kidogo basi kama anakula au kunywa ni lazima apaliwe na maji au msosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna drama yoyote ya korea ambayo inawaonyesha kama heavy users wa simu zao za mikononi, mara nyingi eti mtu hana tima kabisa na simu zaidi ya kupokea na kusoma txt tu na hapo ni maongezi mafupi sana.

Kila mkorea huwa hana muda kabisa na simu[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi nimeliona hili, utashangaa mtu analalamika yupo bored na ana smartphone daah...ila inawezekana hawapo hivyo kweli maana lingekuwa ni jambo ambalo ni common kwao tungeliona (mawazo yangu). Addiction pekee niliyoiona ni games
 
Namalizia zangu Once Upon A Small Town.
Nilipata mood ya kuitazama kwa ajili ya bias wangu Joy toka Red Velvet.

Anyway hizi byuti standards kwa nn na wadada wa Kibongo msijaribu[emoji23][emoji23]
A%2B%20Gallery_73.jpg
 
hii ninaitimiza daily,ngozi murua.Kuna ile ya yumi's wa cells aliitangaza humo naitafuta sana tatizo jina tu kale ka urembo kama lipbalm ila wanapaka usoni,paji la uso na shingoni
Namalizia zangu Once Upon A Small Town.
Nilipata mood ya kuitazama kwa ajili ya bias wangu Joy toka Red Velvet.

Anyway hizi byuti standards kwa nn na wadada wa Kibongo msijaribu[emoji23][emoji23]View attachment 2371459
 
Simu wapo addicted sana hasa wanafunzi ndo maana wanaongoza kwa hizi fans movements ila kwenye drama zao hawaonyeshi hivyo bali wanaintroduce aina mpya za addiction kama vitoto kubeba mimba na wazazi kukubali,kwenda karaoke,kunywa soju,kivuta sigara, bullying
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi nimeliona hili, utashangaa mtu analalamika yupo bored na ana smartphone daah...ila inawezekana hawapo hivyo kweli maana lingekuwa ni jambo ambalo ni common kwao tungeliona (mawazo yangu). Addiction pekee niliyoiona ni games
 
Kuna jamaa yangu hawa actresses walio chini ya miaka 30 hawamvutii sana anapenda wale waliovuka hapo,anyway baada ya kuangalia hizi makjang dramas kama Penthouse,Sky Castle,Mine n.k nikaelewa kwa nn.

Anavutiwa na elegance style yao sema daah wanavutia no wonder miaka hii vijana wa Kikorea wanadate sana na wanawake wakubwa kwao [emoji23][emoji23]
 
Mbona kitonga bado ipo asubuhi hii nimepakua drama 2

Share basi tupate kusimuliana vizuri
Hata dm

Tangu juzi naenda sehem zenye wi- fi za watu, nishajichokea

Mimi nadhan nina addiction nimeipata ya kudownload wakorea. Yani siku ikipita sjjashusha nasikia kuumwa[emoji26]
 
Kuna jamaa yangu hawa actresses walio chini ya miaka 30 hawamvutii sana anapenda wale waliovuka hapo,anyway baada ya kuangalia hizi makjang dramas kama Penthouse,Sky Castle,Mine n.k nikaelewa kwa nn.

Anavutiwa na elegance style yao sema daah wanavutia no wonder miaka hii vijana wa Kikorea wanadate sana na wanawake wakubwa kwao [emoji23][emoji23]

Skycastle ile usiiweke kwenye Makjang kama penthouse na last empress

Hata mimi unakua assured na drama ni ya uhakika au world of married na ile moneyflower wale wamama wameupiga haswaa
 
Apan Star Awards zinaendelea time hii

Hii combo yetu Jung Il Woo na Kwon Yuri tayari kumbe kuna watu walishahisi wanadate[emoji23][emoji23]

Kuna mwandishi akamuuliza Il Woo kuhusu hilo akasema no hawapo kwenye relationship wapo kikazi tu

Mimi kama shipper naombea wapewe project ya 3 pamoja ili tuje tusikie habari nzuri[emoji23]
A%2B%20Gallery.jpg
 
Share basi tupate kusimuliana vizuri
Hata dm

Tangu juzi naenda sehem zenye wi- fi za watu, nishajichokea

Mimi nadhan nina addiction nimeipata ya kudownload wakorea. Yani siku ikipita sjjashusha nasikia kuumwa[emoji26]
Mimi nikiwa na episode chini ya kumi kwenye simu najihisi siko salama kabisa
 
ile dns ikisoma 8.8.8.8 siku inakua imeharibika. Inafungua telegram na watsup tu(naongelea pale kwenye log)jirani ya Home(select server)
Weee sema hakyamungu....basi mimi nilivyokaa kinyonge utanihurumia
 
Back
Top Bottom