loved girl
Member
- Jan 29, 2022
- 74
- 89
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka ulivyoelezea ila nahisi kati ya waigizaji wa kibongo usiowapenda mkojani wa kwanzaUkisikia u-serious wa kazi ndio huo, tofauti na wajinga wenu wa taifa wakiongozwa na mkojani na yule pembe na rungu lake.
huyo mkojani muda wote yeye anavaa seruni utadhani kapasuliwa mshipa wa korodani, hao wazee wa kipemba wenyewe siku hizi wanavaa suti za kaunda wanapokwenda vibanda vya kahawa.
wenzetu hizi roles wanazozibeba katika tamthilia au movies hupendelea kuzifanyia tafiti kabla ya kuanza kwa mchakato wa shooting.
ngoja nikupe mfano wa song il kook (mwanadamu aliyechangia niwe mlevi wa hizi kazi za wakorea).
unaikumbuka a man called god drama ya miaka 12 iliopita?
ndio ni miaka 12 sasa, kama bado maisha yako ni hohe hahe kama ya kwangu basi zifute ndoto za kuwa bakhressa ila unaweza kuwa kama harmonize wa maraikaa.
song il kook anapenda kula sana sana (tafuteni show ya return of superman mutafahamu ninachokizungumza), si hilo tu jamaa ni vegetarian kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
role ya peter pan ilibadili mfumo wake mzima wa maisha, ile sexy body ya mule ndani haikupatikana kwa kula dagaa wa mwanza na chai ya mdalasini wa kipemba.
- alikuwa anaingia gym masaa saba kwa siku, licha ya kwamba alikuwa na maumivu ya bega alioyapata kutokana na kuanguka akiwa anaendesha farasi wakati akishoot kingdom of the wind drama.
- alipunguza uzito wake kwa takribani kilogram 10 au zaidi, ndio akawa na shape ile
- alitafuta mtaalamu wa nywele , yale manywele hayakuota tu wenyewe kama nywele za mwendawazimu wa kidongo chekundu
- alitafuta leseni ya udereva wa vyombo vya maringi mawili, bila ya shaka alijifunza kuendesha na honda
- aliachana na mboga mboga akahamia katika protein
- alijiandaa kwa miaka miwili kucheza role ya peter pan
huku kwetu mtu anaigiza maisha ya kipato cha laki 7 kwa mwezi lakini anamiliki seruni ya 200 inayouzwa beba beba sokoni kwa michael.
ndio maana CD huwa nazivunja nikiziona zimekaa ovyo ukumbini.
[emoji16][emoji16][emoji16] Hujamuita Nifah amuone bae wakeKuna siku nitakuja kuwasimulia safari yangu ya kuangalia wakorea ilianzia wapi.
Song ametimiza miaka 51 ya kuzaliwa.
View attachment 2374426
Watu wanazingua sanaNchi ina vijana wasenge sana hii washachoma kitonga kingine cha 24hrsView attachment 2373832
Cheki hizi ni Kali mno ila si za mwaka Jana wala juzi nazani ni za 2019 na 2018 kama sikosei zinamaudhui ya kama big mouth ni hizi hapa "Whisper" na "Watcher"Nilikua mlevi wa Korea drama nikapumzika nimekuja kurudi tena kuangalia big mouth aisee nilikua nakosa mambo ,naomba mwenye drama nyengine nzuri anipe za mwaka jana na mwaka huu.
PMWeee sema hakyamungu....basi mimi nilivyokaa kinyonge utanihurumia
Kwa huku bongo na nchi nyingi za Africa, watu walianza kuwa walevi wa Kdrama baada ya kazi kubwa ya huyu jamaa (JUMONG) moja kati ya kazi ya kikorea zilizoonyeshwa mpaka kwenye mabanda ya video na zikapendwa. Baada ya hiyo watu ndo wakaanza kufuatilia kazi nyingine sasa.Kuna siku nitakuja kuwasimulia safari yangu ya kuangalia wakorea ilianzia wapi.
Song ametimiza miaka 51 ya kuzaliwa.
View attachment 2374426
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna vibe flani huwezi kuzikuta popote zaidi ya kwenye kdrama.
Kuna scene za wazee wa kunywa unakuta team nzima ya kazini imetinga baa ni full kupiga vinywaji unakuta wanatoka wengine wakiwa tungi wanaenda round ya pili kwenye baa nyingine [emoji1316][emoji23][emoji23]
Ukitoka big mouth nenda na Doctor lawyer hutojuta muda wako.Nilikua mlevi wa Korea drama nikapumzika nimekuja kurudi tena kuangalia big mouth aisee nilikua nakosa mambo ,naomba mwenye drama nyengine nzuri anipe za mwaka jana na mwaka huu.
Kuna vibe flani huwezi kuzikuta popote zaidi ya kwenye kdrama.
Kuna scene za wazee wa kunywa unakuta team nzima ya kazini imetinga baa ni full kupiga vinywaji unakuta wanatoka wengine wakiwa tungi wanaenda round ya pili kwenye baa nyingine [emoji1316][emoji23][emoji23]
Hiyo drama niliianzaga nikaipenda nikafika hadi ya 10 ila nikawa nna viporo vingi nikairuka kwanza.Hatimae family drama bravo my life imeisha episode 120 nimebaki na ongoing golden mask (gold mask)
Hiyo drama niliianzaga nikaipenda nikafika hadi ya 10 ila nikawa nna viporo vingi nikairuka kwanza.
Hapa nasubiria Golden Mask wiki ijayo iishe nimalizie ya 90-100
Inayofuata nayo inaonekana ya moto
Wenzetu hawana attachment na character na dedication yakufa mtu , Kuna dingi kacheza mkatili itaewon class saizi nimekutana nae kwenye vicenzo ni lawyer wakianza battle na binti yake 🤣🤣🤣🤣mpaka siamini Kama ni yeye wa itaewonUkisikia u-serious wa kazi ndio huo, tofauti na wajinga wenu wa taifa wakiongozwa na mkojani na yule pembe na rungu lake.
huyo mkojani muda wote yeye anavaa seruni utadhani kapasuliwa mshipa wa korodani, hao wazee wa kipemba wenyewe siku hizi wanavaa suti za kaunda wanapokwenda vibanda vya kahawa.
wenzetu hizi roles wanazozibeba katika tamthilia au movies hupendelea kuzifanyia tafiti kabla ya kuanza kwa mchakato wa shooting.
ngoja nikupe mfano wa song il kook (mwanadamu aliyechangia niwe mlevi wa hizi kazi za wakorea).
unaikumbuka a man called god drama ya miaka 12 iliopita?
ndio ni miaka 12 sasa, kama bado maisha yako ni hohe hahe kama ya kwangu basi zifute ndoto za kuwa bakhressa ila unaweza kuwa kama harmonize wa maraikaa.
song il kook anapenda kula sana sana (tafuteni show ya return of superman mutafahamu ninachokizungumza), si hilo tu jamaa ni vegetarian kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
role ya peter pan ilibadili mfumo wake mzima wa maisha, ile sexy body ya mule ndani haikupatikana kwa kula dagaa wa mwanza na chai ya mdalasini wa kipemba.
- alikuwa anaingia gym masaa saba kwa siku, licha ya kwamba alikuwa na maumivu ya bega alioyapata kutokana na kuanguka akiwa anaendesha farasi wakati akishoot kingdom of the wind drama.
- alipunguza uzito wake kwa takribani kilogram 10 au zaidi, ndio akawa na shape ile
- alitafuta mtaalamu wa nywele , yale manywele hayakuota tu wenyewe kama nywele za mwendawazimu wa kidongo chekundu
- alitafuta leseni ya udereva wa vyombo vya maringi mawili, bila ya shaka alijifunza kuendesha na honda
- aliachana na mboga mboga akahamia katika protein
- alijiandaa kwa miaka miwili kucheza role ya peter pan
huku kwetu mtu anaigiza maisha ya kipato cha laki 7 kwa mwezi lakini anamiliki seruni ya 200 inayouzwa beba beba sokoni kwa michael.
ndio maana CD huwa nazivunja nikiziona zimekaa ovyo ukumbini.
Ahsante mkuu nimetumia ile aliyonielekeza au unayo ya mtindo mwingine?
Hata mimi drama yangu ya kwanza kuiona ni Jumong ingawa niliangalia katikati tuKwa huku bongo na nchi nyingi za Africa, watu walianza kuwa walevi wa Kdrama baada ya kazi kubwa ya huyu jamaa (JUMONG) moja kati ya kazi ya kikorea zilizoonyeshwa mpaka kwenye mabanda ya video na zikapendwa. Baada ya hiyo watu ndo wakaanza kufuatilia kazi nyingine sasa.
Kiufupi ile kazi ilifungua kwa upana soko la Kdrama katika bara la Africa.
[emoji16][emoji16][emoji16] au wanaenda karaokeKuna vibe flani huwezi kuzikuta popote zaidi ya kwenye kdrama.