Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ngajo tusingizie bad taste maana sio kwa mbaba yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila wakorea wambea jamani hawataki wenzao wadate na kuwa na happy life
Kule ukishakuwa public figure basi unakuwa ni mali ya wakorea wote na ni kawaida yao kuingilia mpaka maisha binafsi, ndiomaana wengi huishia kujiua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwamba namkubaligi sana,yani ni best villain sema huwa anapendelewa sana na madirector[emoji23]
Nilimuona kwenye innocent defendant,penthouse na saivi tena kwenye little women inshort yuko vizuri[emoji119][emoji119]
17pry_3m.jpg
 
Huyu mwamba namkubaligi sana,yani ni best villain sema huwa anapendelewa sana na madirector[emoji23]
Nilimuona kwenye innocent defendant,penthouse na saivi tena kwenye little women inshort yuko vizuri[emoji119][emoji119]View attachment 2376248

Uhm Ki Joon

Kuna Golden Cross nayo alikuwa villain flani ni Heart Surgeons tu ndio naona kacheza ana roho safi
 
Back
Top Bottom