Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Achana na drama hii ni furaha yangu nyingine[emoji23][emoji23]

Twice[emoji445]
A%2B%20Gallery_44.jpg
 
Little women ep 10 [emoji91][emoji91]
Fight for my way
One doller lawyer
Law cafe

My list hiyo
Ongoing unatakiwa ufatilie angalau drama tatu....labda ya Jumamosi_Jumapili,Jumatatu_Jumanne la sivyo hua inakata mzuka.
Law cafe,little women[emoji91][emoji91]
 
Nimerudi kutoka Gwaminsong, ile ilikuwa ngome ya shetani, vita imenikuchua muda mrefu sana, kubwa zaidi nimerejea na ushindi. Kwako Cammanda Komu
Pongezi nyingi ziendi kwa Sagal hyeon kwa kupambana kufa na kupona mpaka ngome kuwa chini ya hinata yetu yakigugryo napita mitaa YA Gugnaseon naona raia wanahuzunika sana baada ya kupata taarifa za kifo cha General wetu mkubwa.
 
Beating again (episode 16)

ina comedy zisizoumiza😂😂😂😂
Mimi katika picha za kikorea sijamuona comedian aliyeitendea haki nafasi hiyo kama huyu mwamba kwenye Emperor of the sea huyu jamaa fundi sana, kwa walioiona hiyo picha alitumia jina la Jong_dal mule full uchizi kuna na wenzake kama watatu hivi.

Hapo ndipo nilijua wakorea noma picha sio ya comedy ila kuna watu wakuchangamsha picha na comedy zao zinahusiana na content ya picha wala haziboi
IMG_20221007_111754.jpg


IMG_20221007_111732.jpg
 
Who remembers this scene?

View attachment 2373016

Nasikitika sana Wakorea kuzipa mgongo hizi historical dramas.
Hii inaitwaje ? mimi hizi ndizo muvi zangu hizi za kina sijui LemiNo na wavaa suti na vimodo za town wanazocheki wakina Khantwe Numbisa na wengine humu sikikubali labda ziwe za kijasusi kama City hunter , A man Called nk mimi nakubali za pori zitembee panga na stori kali.
 
I thought you will marry she and him tomorrow.
kwa tafsiri ya kipemba
mdogo wangu nilidhani umefariki huko uwanja wa vita,
ahsante TRAB kwa kuweza kukurudisha ukiwa hai.

hiyo ngome ya gwaminseong wale wahuni wa khitan wakishirikiana na ukoo wa murong XI bado wanaendelea kuwasumbua wajinga nyie?

halafu huyo mzee general komu wa koguryeo ya tozo si alipigwa ambush na wahuni wa kisukuma katika ile vita ya yodongseong,

aliponaje wakati alikimbia na kichupi chake uwanja wa mapambano, wataka kuniambia yule general wa kisukuma aitwaye ngwanamalundi hakuweza kumuua komu licha ya nguvu zake za muangaza?

Damdeok anasemaje hukoo?
------------------
Ile muvi mpaka inaisha hatujajua historia ya mzee Ha_Muji ilikuwa vipi mpaka akawa vile na kea nini slijificha miaka yote
 
Ukiandika nitag
Kama unataka series aina ya city hunter icheki Hii inaitwa "The last" ina mkono na story Kali sana inahusiana na jamaa mmoja Muhasibu mwenye hela zake ambaye hajawahi kupitia Kwenye umasikini tangu azaliwe mpaka amefika hapo anakutana na mkasa mkubwa Kwenye kazi yake hela za firm zinaibiwa na haijulikani nani kaiba na kwasababu yeye yupo Kwenye hiko kitengo ndio Mkuu anasimamia hela anajikuta yeye ndio anashukiwa ndio mwizi wa hela hapo ndio picha linapoanzia ni hatari mkuu
Daemushin
Papaa Gx
Al-Hadidy hadidy
 
Back
Top Bottom