Nikimaliza big mouth napooza kichwa na romcom kwanza then itafuata hii. Mwenye romance drama ya Jung hae in ukiacha Something in the rain na while you were sleeping anitajie (kwa kutaja drama natumaini hata Numbisa ameelewa mtu ninayemzungumzia)Ukitoka big mouth nenda na Doctor lawyer hutojuta muda wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu yule aliyelewa sana ndio huwa kiongozi wa kusisitiza raundi nyingineHapo bado hawajaenda karaoke. Humo humo kuna chawa wa boss kalewa chakali na tai yake kichwani kumbe mbwembwe tu akitoka nje kuongea na simu hasa na mkewe unaona kabisa hajalewa hata tone
Yule mtoto wake wa kwenye Itaewon sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye Yumi's cells ni mtu mwingine mimi wakati naangalia hata sikumjuaWenzetu hawana attachment na character na dedication yakufa mtu , Kuna dingi kacheza mkatili itaewon class saizi nimekutana nae kwenye vicenzo ni lawyer wakianza battle na binti yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpaka siamini Kama ni yeye wa itaewon
Nikimaliza big mouth napooza kichwa na romcom kwanza then itafuata hii. Mwenye romance drama ya Jung hae in ukiacha Something in the rain na while you were sleeping anitajie (kwa kutaja drama natumaini hata Numbisa ameelewa mtu ninayemzungumzia)
Kama upo connect its coolAhsante mkuu nimetumia ile aliyonielekeza au unayo ya mtindo mwingine?
Daah kwenye something in the rain nimemuelewa sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mna butterflies za kutoka mule ndio maana natafuta nyingine nadhani nitaenda na hiyo One spring night kisha zingine zitafuataDrama zake nyingi huwa simuelewi japo ana kiss tamu[emoji23][emoji23][emoji23] Snowdrop niliivumilia ili nione kiss scene[emoji23][emoji23][emoji23]a piece of your mind nimeivuta ila bado sijaiangalia. Kuna One Spring Night
Poa...nikikwama nitakujaKama upo connect its cool
Ila lina pesa [emoji16][emoji16][emoji16] hata kama za utapeli ni pesa tu hazinukiKimnana [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]ndani ya scendo. Ila ka binti kazuri lijamaa hata halina six pack. anyway penzi kihkohozi pesa kiburudisho
Ila lina pesa [emoji16][emoji16][emoji16] hata kama za utapeli ni pesa tu hazinuki
Golden mask aisee nipo nayo ep ya 95Hatimae family drama bravo my life imeisha episode 120 nimebaki na ongoing golden mask (gold mask)
[emoji16][emoji16] hivi wamesema anadanga? Basi mimi niliona ile ya dispatch inasemekana wametambulishana hadi kwa wazazi...na concern yao kubwa ilikuwa yule bwana inasemekana ni tapeliPesa ni asali. Nikadhani actress wa kule matajiri kwa mishahara yao kumbe kuna maisha nje ya hapo
Washaachana mbona siku 3 baada ya kutoka taarifa ya Dispatch[emoji16][emoji16] hivi wamesema anadanga? Basi mimi niliona ile ya dispatch inasemekana wametambulishana hadi kwa wazazi...na concern yao kubwa ilikuwa yule bwana inasemekana ni tapeli
Pesa anayo tayari labda alitaka laaziz wa kuta nae,hata hivyo ana bad taste in men aisee[emoji23][emoji23]Pesa ni asali. Nikadhani actress wa kule matajiri kwa mishahara yao kumbe kuna maisha nje ya hapo
ila wakorea wambea jamani hawataki wenzao wadate na kuwa na happy lifePesa anayo tayari labda alitaka laaziz wa kuta nae,hata hivyo ana bad taste in men aisee[emoji23][emoji23]
Washaachana mbona siku 3 baada ya kutoka taarifa ya Dispatch
Golden mask aisee nipo nayo ep ya 95
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwingine ni tupi? Mimi namjua tu yule bae wa duniaPesa anayo tayari labda alitaka laaziz wa kuta nae,hata hivyo ana bad taste in men aisee[emoji23][emoji23]
Ila we mwanamke wewe, kwamba umejua kabisa ana kiss tamu? Shenzi kabisa weeeh[emoji23][emoji23]Drama zake nyingi huwa simuelewi japo ana kiss tamu[emoji23][emoji23][emoji23] Snowdrop niliivumilia ili nione kiss scene[emoji23][emoji23][emoji23]a piece of your mind nimeivuta ila bado sijaiangalia. Kuna One Spring Night
Ila we mwanamke wewe, kwamba umejua kabisa ana kiss tamu? Shenzi kabisa weeeh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kuobadili nature, pesa huflow kutoka ME kwenda KE in a whatever mean.Pesa ni asali. Nikadhani actress wa kule matajiri kwa mishahara yao kumbe kuna maisha nje ya hapo