Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu nimeona huko juu Daemushin pamoja na pacha wake Numbisa wakishirikiana kikamilifu na Al-Hadidy wakimponda ha ji won eti hawavutiwi nae kwa upande wako unamuonaje huyu dada aliyecheza kwenye The empress ki kama main character?
Sema kuna point moja umeisema nadhani inaweza kuwa ya pili why sinaga moto,drama anazowekwa za kizembe at least Empress Ki na Hwang Jini.

Secret Garden,Hospital Ship,Chocolate,The Time We Were Not In Love,King 2 Hearts zote nilifanikiwa kuziangalia ila sikuvutiwa nae kwenye hizi.

Ni Empress Ki ndio drama yake ya kwanza kuiona na kama kawaida yangu huwa nina tabia nikimuona actress kwa mara ya kwanza napekenyua na drama zake nyingine nizione.

Anyway kuna moja inakuja soon amecheza kama Chaebol Heiress inaitwa "Curtain Call" yupo na Kang Ha Neul nitajaribu kuingalia.
 
Hii jamaa ipo drama nyingi soon inno atakwambia ukamuone kwenye defendant
 
Upo sahihi mkuu Bora kwa kukiri hilo ha ji won wanamuharibia kwa kumpa drama za kiboya sijui ni kwanini inakuwa hivyo lakini ukiangalia performance yake kama yeye ni bonge la actress kwa upande wangu nimemuweka no I ni actress yupo full package ukiwa mpole yupo vizuri, akiwa katili yupo vizuri, ukimleta kwenye action napo yupo vizuri sana sema ndio hivyo maproducer Wengi ni wajinga wajinga kwa kumtomtendea haki huyu mwanamama kwa kipaji chake alitakiwa awe kwenye project zenye kufanya vizuri
 
Sasa ni drama au actress wako ndo mzuri

Niko episode ya tatu hapa ila nishashusha nusu drama
Huyo actress nimeanza kumpenda ni baada ya kuicheki hiyo drama kafanya poa Sana ukiacha yeye, script writer wa huyo drama alikuwa kwenye dunia ya pekee story ipikwa imepikika sio jambo rahisi kutengeneza drama yenye episodes nyingi alafu ikawa kila episode inapoisha inaishia utamu inakupa hamasa ya kuangalia nyingine
 
Hii jamaa ipo drama nyingi soon inno atakwambia ukamuone kwenye defendant
Bado kwenye Fantastic mule ndani mpole kinoma alikuwa right hand man wa Joo Sang Wook akicheza kama movie actor

Basi muda wote utamkuta na pochi kubwa [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…