Mimi nashauri ujanja huu umpatie mtu pm kisha atatugawia na sisi hukohuko
Better safe than sorry, unaweza kusema hawatembelei wakaanza leo. Info nyeti kama hiyo ni hatari kuiweka hapa...eti Daemushin una tatizo na PM?Tatizo la PM wengi hawapapendi huko ila humu nadhani tuendelee tu kupeana ujuzi hata hapa,hatujui kesho yetu ipoje,tukipigwa tunapigwa kweli tukipata tunapata wote. halafu nimegundua uzi huu hautembelewi na wasiopenda vikorea hivyo tupo safe kiaina
Basi fanya mpangoanieyo
Mkuu nna shida na wewe PManieyo
Kila la kheriMkuu nna shida na wewe PM
Nimeianza Empress Ki
Wakati naishusha niliona epi 20 kumbe kuna next page, ziko 51
Yaan mpaka natetemeka [emoji23][emoji23]
Kwa namna hiyo Uhondo unaopatikana kwenye drama ya Dae Jo Young utaishia kusimuliwa tu, dude lina episodes 134.
Humu ni wewe tuu na MBs zakoUnapenda KDRAMA ingia play store download HITV app kama kuna series utaikosa humu niite mbwa nimekaa pale View attachment 2383604
Shida ni mb je ni nyingi Unaweza kudownload kuanzia mb ngapi?Humu ni wewe tuu na MBs zako
Hazina mb nyingi?Unapenda KDRAMA ingia play store download HITV app kama kuna series utaikosa humu niite mbwa nimekaa pale View attachment 2383604
Hili dude nililiangalia zamani ni bonge la series kweli watu wanakosa uhondo kwa uvivu wa kuangalia.Kwa namna hiyo Uhondo unaopatikana kwenye drama ya Dae Jo Young utaishia kusimuliwa tu, dude lina episodes 134.
Kesho asubui ntadownload episode kadhaa ntakuja kuwapa majibu maana nilikua naangalia kwa kutumia data hiyo quality yake sio mchezo Sasa sijui zinakula MBs ngap per episodeHazina mb nyingi?
Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..
Huyo jamaa wa chini alicheza kwenye Queen Seondeok pia, alikuwa chawa wa prince wa Gaya[emoji23].Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..View attachment 2385733
Nimeona katika list kuna jamaa huyu aliyeigiza kama General Fegnba kwenye KingGwangaetto jamaa namkubali kwenye sekta ya uchawa napenda kwenye muvi nikimkuta huyu mwamba anafurahisha sana.View attachment 2385735
Niliipenda sana hii ila mwisho wake sijaelewa wakorea kama series inaendelea kwenye season nyingine hiyo season 1 hawamalizi vzuri unabaki na maswali mengi sana nimeona hata Kwa penthouseAlchemy of souls drama nipo episode 11:
Wenzetu wametuacha mbali sana kiuandishi, huwa nafurahi sana ninapowaona hawa wafuatao wakizungumza pamoja halafu itokezee wawe wanatofautiana kimawazo
- Park jin(mkuu wa songrim) na maidservant kim doo joo...hawa watu walianza kupendana tokea walipokuwa na mwaka mmoja wa kuzaliwa lakini hakuna aliyetayari kumtamkia mwenzake.
- Mudeok na crown prince go won
- Master lee na maid servant kim doo joo
- Park dang gu anapozungumza na yeyote, navutiwa sana na khulka za huyu bwana na nywele zake za silver. Ndiyo muhusika anayenivutia zaidi humu ndani
Wenzangu munafuatilia drama gani?
Nipo empty
View attachment 2357920