Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tatizo la PM wengi hawapapendi huko ila humu nadhani tuendelee tu kupeana ujuzi hata hapa,hatujui kesho yetu ipoje,tukipigwa tunapigwa kweli tukipata tunapata wote. halafu nimegundua uzi huu hautembelewi na wasiopenda vikorea hivyo tupo safe kiaina
Mimi nashauri ujanja huu umpatie mtu pm kisha atatugawia na sisi hukohuko
 
Tatizo la PM wengi hawapapendi huko ila humu nadhani tuendelee tu kupeana ujuzi hata hapa,hatujui kesho yetu ipoje,tukipigwa tunapigwa kweli tukipata tunapata wote. halafu nimegundua uzi huu hautembelewi na wasiopenda vikorea hivyo tupo safe kiaina
Better safe than sorry, unaweza kusema hawatembelei wakaanza leo. Info nyeti kama hiyo ni hatari kuiweka hapa...eti Daemushin una tatizo na PM?
 
Unapenda KDRAMA ingia play store download HITV app kama kuna series utaikosa humu niite mbwa nimekaa pale
Screenshot_20221011-145838.jpg
 
Kwa namna hiyo Uhondo unaopatikana kwenye drama ya Dae Jo Young utaishia kusimuliwa tu, dude lina episodes 134.
Hili dude nililiangalia zamani ni bonge la series kweli watu wanakosa uhondo kwa uvivu wa kuangalia.

Yaani kuna wakati nilitamani iishe lakini siwezi kuacha kuangalia na ilipoisha nikajuta kwa nini iliisha.
 
Nimefurahi Sana kuona mdada mmoja ambaye alicheza kwenye drama ya Fatal promise au kwa jina lingine inaitwa The dangerous promise kama main character Park ha kiukweli aliperform mno niliwish nitamani nimuone kwenye drama zingine Kali nashukuru Mungu amesikia kilio changu amerudi Tena na hii inaitwa Vangeance of the bride
 
Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..
photo72691(3).jpg


Nimeona katika list kuna jamaa huyu aliyeigiza kama General Fegnba kwenye KingGwangaetto jamaa namkubali kwenye sekta ya uchawa napenda kwenye muvi nikimkuta huyu mwamba anafurahisha sana.
19f1688532f945aae2cbf224c3c1432d--queen-stars.jpg
 
Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..
  1. emperor wang gun
  2. age of warriors
  3. admiral yi soon shin
  4. yeon gae somun
  5. haeshin/ emperor of the sea
  6. king geunchogo
  7. gwanggaetto
  8. dae jo yeong
  9. kings dream/ Dream of emperor
  10. jing bi rok: memoir of imjin war
  11. heo jun 2000
  12. sangdo (merchant)2001
  13. jewel in the palace
  14. the flower in prison
  15. YI SAN
Mpaka wewe una ukame wa bando haliyakuwa mitaa yote ya connection unaifahamu
kuna siku niliona umepost picha inayoonyesha bei za vifurushi, GB 100 kwa shilingii 1000.
hivi una undugu na watengeneza minara ya simu
teh teh teh
 
Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..View attachment 2385733

Nimeona katika list kuna jamaa huyu aliyeigiza kama General Fegnba kwenye KingGwangaetto jamaa namkubali kwenye sekta ya uchawa napenda kwenye muvi nikimkuta huyu mwamba anafurahisha sana.View attachment 2385735
Huyo jamaa wa chini alicheza kwenye Queen Seondeok pia, alikuwa chawa wa prince wa Gaya[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alchemy of souls drama nipo episode 11:

Wenzetu wametuacha mbali sana kiuandishi, huwa nafurahi sana ninapowaona hawa wafuatao wakizungumza pamoja halafu itokezee wawe wanatofautiana kimawazo
  1. Park jin(mkuu wa songrim) na maidservant kim doo joo...hawa watu walianza kupendana tokea walipokuwa na mwaka mmoja wa kuzaliwa lakini hakuna aliyetayari kumtamkia mwenzake.
  2. Mudeok na crown prince go won
  3. Master lee na maid servant kim doo joo
  4. Park dang gu anapozungumza na yeyote, navutiwa sana na khulka za huyu bwana na nywele zake za silver. Ndiyo muhusika anayenivutia zaidi humu ndani

Wenzangu munafuatilia drama gani?
Nipo empty
View attachment 2357920
Niliipenda sana hii ila mwisho wake sijaelewa wakorea kama series inaendelea kwenye season nyingine hiyo season 1 hawamalizi vzuri unabaki na maswali mengi sana nimeona hata Kwa penthouse
 
Back
Top Bottom