Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyo jamaa wa chini alicheza kwenye Queen Seondeok pia, alikuwa chawa wa prince wa Gaya[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo muvi sijaicheki bado japo nazijua ,kama hivyo basi huyu mwamba namvukia kofia kwenye King Gwangaeto kawa chawa wa Murong Bao akahamia kwa Murong Xi kisha akamsaliti kwa kumtia upepo Murong Un mpaka kumpigia magoti ili awe chawa wake na kote huko anatewndea haki Kazi yake kwa kuleta udaku na umbea kiasi ambacho hadi alikuwa anaaminika kwani yuko radhi mpaka kuhatarisha usalama wake ilimradi kupata credit kwa bosi jamaa ni muadilifu sana mzee wa hot news .

Kwenye Emperor japo alikuwa Pirate lakini hakuacha pigo zake za uchawa na kuwa kimbelele kupelekea habari za kimbea staili yake mara nyingi ya kunon'goneza bosi sikio akija na udaku hatoi ripoti kikomando hata akiigiza General
 
Shukrani ngoja niisqvu hii comment ,mmi Free VpN nimetumia sana nilikuwa na VpN aps kama 5 kuweka bando kwangu ilikuwa upuuzi mpaka nikawa najiona mimi ndio Master wa hayo mambo baada ya kufyekwa na baadhi spidi kupungua nikasusa nakaona nikomae na mabando ya kawaida tu mpaka leo na nimeacha kusalimia watu kamazani nimekosa machaka kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…