adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hiyo muvi sijaicheki bado japo nazijua ,kama hivyo basi huyu mwamba namvukia kofia kwenye King Gwangaeto kawa chawa wa Murong Bao akahamia kwa Murong Xi kisha akamsaliti kwa kumtia upepo Murong Un mpaka kumpigia magoti ili awe chawa wake na kote huko anatewndea haki Kazi yake kwa kuleta udaku na umbea kiasi ambacho hadi alikuwa anaaminika kwani yuko radhi mpaka kuhatarisha usalama wake ilimradi kupata credit kwa bosi jamaa ni muadilifu sana mzee wa hot news .Huyo jamaa wa chini alicheza kwenye Queen Seondeok pia, alikuwa chawa wa prince wa Gaya[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Emperor japo alikuwa Pirate lakini hakuacha pigo zake za uchawa na kuwa kimbelele kupelekea habari za kimbea staili yake mara nyingi ya kunon'goneza bosi sikio akija na udaku hatoi ripoti kikomando hata akiigiza General