Hongera mimi kwangu unagomaMi ule ulonipa ndo nashuka nao
bwana harusi wetu ametoa chozi la mamba aliye kwenye dimbwi la maji, episode 7 na 8 tumerudishwa kwenye uhalisia wa maisha ya bwana lawyer.Dae
Umeshamuona Nam goomin akilia
Maana amelia yeye mi nasikia kucheka sina mbavu[emoji1787] sura zake za ukaksi zote zimenijia
Nimekuwa mfuatiliaji wa korean drama enzi na enzi toka kipindi iko hawa watu wananivutia sana wapo seriours na kazi toka enzi hizo za kina
jumong
Slave hunter
Yi san {wind of palace}
JOOn wo Chi
Emperor of the sea
3Days
Emperor Ki
Warrior baek dong-soo
Bichunmoo
Queen seondeok
Gu family book
Bridal mask
moon lover
The night of witchman
na nyingine kali za kipindi iko mpaka hii leo 2022 nimeangalia filamu mingi sana za korea kuna filamu kali kama
innocent defendant
secret
The lover
IRS
king's affection
Arthdal Chronicles
Alchemy of souls
Ghost doctor
Pachinko
Mr Qeen
Mouse
The last empress
money heist
Sqeed game
tomorrow
the sound of magic
all of us are dead
the gurdian
Mingi sana nyingine nmesahau but tafuta filamu hizo utajua hawa watu wanajua sana
bwana harusi wetu ametoa chozi la mamba aliye kwenye dimbwi la maji, episode 7 na 8 tumerudishwa kwenye uhalisia wa maisha ya bwana lawyer.
kumbe jamaa anatokea katika familia yenye mizizi mikubwa sana, baba yake alikuwa ni muendesha mashitaka anayeheshimika ambaye baadae alibadilisha muelekeo wake wa kiajira kwa kujiingiza rasmi katika harakati za siasa.
huko ndipo alipokutana na genge la walaghai waliofanikiwa kumbadilisha kifikra na kikhulka hatimaye akawa fisadi.
Lee Joo-Young akabaki kuwa kiumbe pekee na muhimu aliyekuwa karibu na bwana lawyer kwa nyakati zote za furaha, majonzi, na huzuni ya kuondokewa na baba yake.
kumbe hata wazo la kuanzisha ofisi ya wakili inayotoa huduma kwa dola moja lilianzishwa na girlfriend wake na wa kwanza kupewa msaada wa kisheria alikuwa secretary wake mzee sa mu jang.
nimevutiwa sana na cameo ya mwanadada lee chung ah,
aigooooo kwa nini nimeifuta tena awaken drama kwa mara ya tatu.
dae una matatizo gani?
episode 9 na 10 nimeziona dalili za kurudishwa tena katika uchale, haya tusubirie vicheko vya kukaribisha weekend.
Aisee hili dude ni next level vinachuana na Jomong& six flying eagles, king gwagaeto hivo ndio level zake.Hili dude limesifiwa sana halafu mzee wa mapanga sijaliona naweka kiporo natarajia kwenda sehemu ambayo nitadowea free Wifi kuserereka nitashusha episode za kutosha tu panapo majaaliwa..View attachment 2385733
Nimeona katika list kuna jamaa huyu aliyeigiza kama General Fegnba kwenye KingGwangaetto jamaa namkubali kwenye sekta ya uchawa napenda kwenye muvi nikimkuta huyu mwamba anafurahisha sana.View attachment 2385735
Haya ndio madude ya vita ya kale. Wakorea Mungu anawaona yaani nikiangaliaga haya madude nakumbuka story za vita ya kwenye Bible.Mpaka wewe una ukame wa bando haliyakuwa mitaa yote ya connection unaifahamu
- emperor wang gun
- age of warriors
- admiral yi soon shin
- yeon gae somun
- haeshin/ emperor of the sea
- king geunchogo
- gwanggaetto
- dae jo yeong
- kings dream/ Dream of emperor
- jing bi rok: memoir of imjin war
- heo jun 2000
- sangdo (merchant)2001
- jewel in the palace
- the flower in prison
- YI SAN
kuna siku niliona umepost picha inayoonyesha bei za vifurushi, GB 100 kwa shilingii 1000.
hivi una undugu na watengeneza minara ya simu
teh teh teh
Huyo mwamba huwa anaitendea haki position yake.Huyo jamaa wa chini alicheza kwenye Queen Seondeok pia, alikuwa chawa wa prince wa Gaya[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuja Pm unisambazie upendo wa hiyo password na hilo eneo Mimi Mwanza huwa natia timu karibu kila mwezi.Ungekuwa mwanza ningekupa password ya Hotel moja maarufu ipo katikati ya jiji, ukifika pale kuna WiFi ina kasi ambayo sijawahi fikiria unasimama tu pale pembeni kitu kinasoma unashisha episode hata 30 (unavyotaka) kisha unaendelea na mishe zako.
Mimi kila nikienda town naegesha tu gari kwa nje( parking) nashisha epsode za week nzima halafu napotea[emoji23].
Password nilipewa na rafiki yangu mmoja mmoja ni staff pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishowe nimeanza kuisahau hata hiyo season 1.Alchemy of Souls season 2 December 10
Mkuu nimekucheki PmMwishowe nimeanza kuisahau hata hiyo season 1.
Yah Junho ni handsome kuliko hata Lee Min Ho[emoji16]Handsome ndani ya good managerView attachment 2393745
Yah Junho ni handsome kuliko hata Lee Min Ho[emoji16]
Naipa 9.9/10 Kwa upande wangu one of my Best All time kdramaBad thief,good thief kwa aliyeiangalia je ni nzuri?
Naipa 9.9/10 Kwa upande wangu one of my Best All time kdrama
sijui nina machozi ya karibu ila hii drama imeniliza zaidi sehemu nyingi sana
Ki ufupi hii drama wangeipa episode 16 kama most of drama wangenikatili
50 episodes zenye ujazo, Najiona mimi Kwa huyo detective (ni mimi mtupu) _''kitabia lakini''
ishushe mama,wala usi jifkirie mara mbili,naitafutia link ni idownload tena nili ipoteza
Hivi Alchemy of soul ina season 2 ama? Mbona imeisha kindezi hivo?
Hii drama imenishinda kabisa yaniHandsome ndani ya good managerView attachment 2393745