Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mie inanifurahisha sana kutwa nacheka cheka tu. Handsome hapo na manager vituko vyao burudani murua🤣🤣🤣😂😂😂😂
Hii drama imenishinda kabisa yani