Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu hiyo ni drama maarufu sana na asilimia kubwa ya watu hapa wameisha icheki. Upande mwingine ni drama ambayo ilifanya baadhi ya watu waanze kufuatilia drama za Korea.

Inaitwa Jumong, hapo ni Won Ki Jun (Yeong Po) akimpa maelekezo chawa wake Lee Won Jae (Do Chi) mara baada ya kutibua mambo. Bonge moja la drama.
Inaitwaje hii
 
Hivyo ndio vituko vituko vinavyo patikana kwenye Korea drama nyingi na kufanya iwe yenye kuvutia na kufurahisha. Kuna mdau hapa aliwahi kusema Korea drama wana mtindo wao tofauti kabisa na drama kutoka magharibi ya mbali huko.
[emoji1787][emoji1787] how is that possible

Siri za ivo bora abaki nayo, unaweza banwa pumzi kila ukifikiria
 
Mpaka sasa sijapata mpinzani wa SIX FLYING DRAGON
huenda hujaangalia madude ya kibabe
tafuta age of warriors drama, ukimkuta handsome humo ndani nakulipia gharama zako zote za bando
humo ni mwendo wa kupinduana, wenyewe wanaziita nyakati mbaya za taifa la goryeo kabla ya uvamizi wa Mongolia
1667014001246.png
 
Natafuta hizi series
My love is from another star ya mwaka 2013
 
hizi televisheni za umma zinazingua kweli kweli.
one dollar lawyer drama itaendelea kuonyeshwa episode 1 kwa kila wiki.
leo itaendelea episode 10
wiki ijayo(5/11) itaendelea episode 11
wiki mtondogoo(11/11) itamalizika episode 11

vicheko vya namgoong min humu ndani vinanifanya nirudishe kumbukumbu zangu mpaka kwa jang hyuk ndani ya fated to love you
 
mwaka mmoja nyuma nilikuwa nanunua GB 3 kwa shilingi 2000.
leo hii nauziwa mb 980 kwa shilingi 2000.

nilijaribu ha tunnel kupitia simu yangu kwa kutumia laini ya airtel ila bahati mbaya haifanyi connection ya internet.
hali imekuwa mbaya kweli.
 
Hawa jamaa wasingekua na tamaa za kupinduana leo hii wangekua kwenye utawala wa kifalme karne nyingi kama kule kaskazini au UK na nchi nyingine zenye ufalme
huenda hujaangalia madude ya kibabe
tafuta age of warriors drama, ukimkuta handsome humo ndani nakulipia gharama zako zote za bando
humo ni mwendo wa kupinduana, wenyewe wanaziita nyakati mbaya za taifa la goryeo kabla ya uvamizi wa Mongolia
View attachment 2400873
 
Back
Top Bottom