Inaitwaje hii dramaView attachment 2422704
Chawa wa mishil ,
Huyu mmoja ni ni ndugu yake na mwengine ni mwanawe .
Wameonekana mitaa ya kwa hajitumbo wakitafuta mganga atakayeweza kumrudisha tumboni mtoto aliyekwisha zaliwa aitwae deok man
Picha na muandishi wetu mnywaji urojo
Queen seondeok dramaInaitwaje hii drama
Ni kweli kabisa kwa hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia zoteBora nilivyopata mtu wa kutetea The empress ki kiukweli hii drama ni kwere imetengenezwa imetengenezeka
Kama wewe umekubali basi muswada umepita bila kupingwaNi kweli kabisa kwa hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
Kwamba mimi ndio mbishi sana au...?Kama wewe umekubali basi muswada umepita bila kupingwa
Kwa maana ya kwamba ya kizuriKwamba mimi ndio mbishi sana au...?
Hio Ndio desturi yao, ko kwao sio ajabu .wote
Prince Muan[emoji23]
Nimekaa zangu na episode 2 za queen nikizivundika ziive(ziwe nne) wiki ijayo mara paap talnam huyu hapa anachekelea uhondo wa prince muan mimi ni nani nipitwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] pole
Hujasubiri ziive/ zikuozee
Na mambo uyapendayo yapo kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani imebidi niwahi zisioze
Kuna yule kibonge alikuwa anachezea sana makofi kutoka kwa jamaa yake[emoji1].Go Do ndiye mwanadamu anayeshikilia rekodi ya kupigwa makofi mengi usoni.
Naangalia Queen seondeok drama.
Ndiye Go DoKuna yule kibonge alikuwa anachezea sana makofi kutoka kwa jamaa yake[emoji1].
Haha Numbie..[emoji2957]Nimejikuta naitamani yi san kuivuta kimoi episode mbili za kuonja haina subtitles kwenda kissiassian. duh saa nzima inavuta episode moja tu tena ya mb 299 kufika 295 ikagoma kutwa kuongeza namba za retrying
Tatizo mkuu hata ukifatwa chemba hutoi ushirikiano.Kitonga kitabaki kileleniView attachment 2427308