Hadi nije kufikia list ya Numbisa sijui itakua mwaka ganiScarlet Heart: Ryeo (historical ep 20)
Goblin ep 16
Strong woman do bong soon ep 16
weightlifting fairy kim bok joo ep 16
Am not a robot ep 16
True beauty ep 16
reply 1988 ep 20
suspicious partner ep 16
fight for my way ep 16
hwarang
love in the moonlight
the heirs
the bride of habaek
Happiness
bring it on ghost
the liar and his lover
graceful family
jealousy incarnate
blood
radio romance
encounter
flower of evil
the king in love
my sassy girl
rookie historian go hae ryung
prison playbook
mirror of the witch
scholar who walks the night
yong pal
the flower in prison
Hizo ni baadhi tu ya nilizozipenda,nimechoookaaa kutype. Tumeshakubaliana humu maelezo tumuachie inno[emoji23][emoji23][emoji23]. Najua zoote umeshaangalia[emoji126][emoji126][emoji126]
Halafu huyu mzee mbona kama kacheza kwenye QUEEN SEONDEOK? Nakumbuka alicheza kama Monk mwenye uwezo wa kufanya hesabu za kinajimu aliyekuwa akitumiwa na Mishil kulaghai watu.Wakorea kwa kufukua makaburi ni nomaView attachment 2427487
huenda anaogopa baadhi yenu ni waajiriwa wa mitandao ya simu.Tatizo mkuu hata ukifatwa chemba hutoi ushirikiano.
Unapenda kula peke yako wakati unajua bando zimetubana kinoma.
Kweli hauna kazi.Nilidhani nimemaliza family drama zenye episode 50 kumbe bado safari ndefu tamuuu. My December menuView attachment 2427765
Uoga una vipimo mkuu, kama una nia ya kumsaidia mtu unaweza cheki kwenye back ground za comments zake humu Jf ukajua ni mtu wa aina gani.huenda anaogopa baadhi yenu ni waajiriwa wa mitandao ya simu.
munaigiza kuhitaji connection kumbe ni wapelelezi
teh teh
Kweli hauna kazi.
Kitonga sio kigeni hicho ni ttcl ya asubuhiUoga una vipimo mkuu, kama una nia ya kumsaidia mtu unaweza cheki kwenye back ground za comments zake humu Jf ukajua ni mtu wa aina gani.
We nae kwenda huko....mtaa huu haukufaiKweli hauna kazi.
Mbona kwa sie wenzio inagomaKitonga sio kigeni hicho ni ttcl ya asubuhi
Mbona kwa sie wenzio inagoma
Ooh kweli? Ngoja nitajaribuimerudi,nilishangaa tu kwangu ilirudi,nilijaribu kukonect kimasihara bila hata kuboost
Ngoja tu tutagika stage za kuchek kdrama mpaka zingine tunasahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee mbona hapo haijafika robo. Ukiwa bored utafikia ndani ya mwezi mmoja tu
Mimi imenigomea [emoji24]imerudi,nilishangaa tu kwangu ilirudi,nilijaribu kukonect kimasihara bila hata kuboost
Mbona Nikiri ina quality mbaya hata haivutii, hamna nyingine website ya kushusha hizi quality nzuri kidogo?
Daah hizi chocolateView attachment 2432140. Drama nyingi zinazitangaza
Wamerudi tenaaa
Kama enzi za subway hahaha
Halaf sikujuaga hata ni market strategy nilijuaga ndo sehem pekee wanaeza kula ya ki script[emoji23][emoji1]