Wengine ofisini hakuna mseleleko [emoji16][emoji16] halafu mimi bado natumia mb 300 ttcl bado inanishindaHizo ndo nzuri weekdays asubuh unajiandaa kwenda kusaka noti zenyewe zinajivuta taratiiibuu,unafika ofisini unaunganisha na mseleleko wa hapo huku unachapa kazi
Wengine ofisini hakuna mseleleko [emoji16][emoji16] halafu mimi bado natumia mb 300 ttcl bado inanishinda
Duh descendants of the sun sio kali? Mimi niliipenda kwa kweli
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huenda mimi niliipenda kwa sababu nampenda Song joong ki[emoji23][emoji23]
Sina ninachokumbuka zaid ya song song couple
Humu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.Hivi kwanini alafu inasifiwa balaa nataman nifike hiyo climax ya ubora ila haifiki[emoji22]
Ni kama Mr Queen kila nikitazama ep ya kwanza sielew na haiishi, nikiinigia humu inasifiwa nikaona isiwe tabu nikaanzia ep ya 3 huko aah mbona tukaenda sawa
Hongera me sikuikubali kabisa. Hasa wakati wanaongea na foreigner wakorea wanaact safi wakiwa wakorea kwa wakorea, foreigner wakiingia inakua kama Bongo movie kuforce force.Duh descendants of the sun sio kali? Mimi niliipenda kwa kweli
Hata sijaelewa ulichozungumzaHongera me sikuikubali kabisa. Hasa wakati wanaongea na foreigner wakorea wanaact safi wakiwa wakorea kwa wakorea, foreigner wakiingia inakua kama Bongo movie kuforce force.
By the way maoni yangu, nilitamani descendants of the sun isingehusisha foreigner ingekua balaa.
Ukute hata wanaogopa kuwa wakali kwa foreigner kumpa kipodo kama wanavyopeana wao kwa wao.
Actor yupi? Kwa vibe gani hasa? Mimi ukiniuliza kitu ninachokumbuka kwa yule actor hata sikumbuki. Yule alikuwa anamsindikiza tu main actressHumu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.
Sijawahi kubali aina ya uingizaji wake akiongozwa na yule jamaa wa Crowned Clown.
Wanauingizaji siupendi.
Huyo huyo actress wa King Affection aliua Attorney Woo sababu waliendana vibe na Actor.
Naamini angekua jamaa mwingine kwenye King Affection ingefika mbali.
Sometimes actresses ndio wana impact kubwa kuliko actors
Hebu angalia Shin Hye Sun wa Mr. Queen aliua pale, Na Angel last mission.
Hawa actors sometimes michosho tu kama wanaforce kuigiza.
Wachache wako natural.
Wameanza nao...maana mimi nimezoea kwenye kdama hata akiwepo gay anakuwa kawaida tu...mpaka aseme mwenyewe ndio utajua ni gayBehind every star ni nzuri tatizo yule gay anaboa sana mule kujishebedua khaaa.
May i help you nzuri hasa inavyohusu masuala ya funeral house japo wameongeza mbwembwe kidogo
Wameanza nao...maana mimi nimezoea kwenye kdama hata akiwepo gay anakuwa kawaida tu...mpaka aseme mwenyewe ndio utajua ni gay
[emoji16][emoji16][emoji16] unanifanya niangalie mapema nione mtu anajishauaje kwa kikoreaYaani humu hadharani kama wa kwenye telenovela,bora wangekua wanajificha kama zamani
[emoji16][emoji16][emoji16] unanifanya niangalie mapema nione mtu anajishauaje kwa kikorea
Ngoja niiangalie[emoji1787]Imeisha jana ni ep 12 tu hivyo angalia maana sio ongoing tena
Imeshatoka kitambo tu!!!Wakuu Kwani Money Heist season 2 imetoka?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huenda mimi niliipenda kwa sababu nampenda Song joong ki
Humu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.
Sijawahi kubali aina ya uingizaji wake akiongozwa na yule jamaa wa Crowned Clown.
Wanauingizaji siupendi.
Huyo huyo actress wa King Affection aliua Attorney Woo sababu waliendana vibe na Actor.
Naamini angekua jamaa mwingine kwenye King Affection ingefika mbali.
Sometimes actresses ndio wana impact kubwa kuliko actors
Hebu angalia Shin Hye Sun wa Mr. Queen aliua pale, Na Angel last mission.
Hawa actors sometimes michosho tu kama wanaforce kuigiza.
Wachache wako natural.
Umeona eeh[emoji13]Such a fine man[emoji39][emoji1787]
Tema mate chiniCrush landing on you mbona ya kawaida sana