Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wengine ofisini hakuna mseleleko [emoji16][emoji16] halafu mimi bado natumia mb 300 ttcl bado inanishindaHizo ndo nzuri weekdays asubuh unajiandaa kwenda kusaka noti zenyewe zinajivuta taratiiibuu,unafika ofisini unaunganisha na mseleleko wa hapo huku unachapa kazi