Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hujanielewa kabisa,kwa namna nnavyowapenda Wakorea sijawahi hata kuponda kazi zao kuanzia drama hadi kpop.

Hilo jiwe nimewalenga watu fulani humu ndani wanajikuta wajuaji kuponda drama nzuri kabisa kisa tastes zao za kiboya
Hapo unakosea hakuna taste za kiboya ni vile tunatofautiana. Drama inaweza kupendwa na wengi ila wewe usiipende. Tuvumiliane tu mtu akitoa maoni yake cha muhimu kutumia lugha ya staha. Halafu ukisikia sifa nyingi za drama kisha ukaenda kuitizama lazima utaiona ya kawaida maana unaenda kuiangalia ukiwa na matarajio makubwa, ni rahisi kuwa disappointed hata kwa kipengele kidogo sana. Nimesikia huko juu eti mtu anakereka jina Seoul kwenye drama [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kuona ni kwa kiasi gani mtu yuko sensitive kwa vitu vidogo kabisa.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Hahaha
Yani wanatumia majina tofauti makusudi
Lakin sasa huyu mdogo wangu nikimpa anakwambia mumewe ikimnogea anaenda library sasa kuulizia zenye tafsir hataki kujichosha[emoji1787][emoji23]

Ila mi nakasirika[emoji16]

Ingawa nimepata waZo sijui nianze kuzitafsir[emoji1787][emoji1787]

Maana hali ngumu [emoji848]
 
Nahisi ni huyo ndio niliyemlenga,yaani eti mtu anaanzaje kuponda comedy kitu ambacho ni kawaida kwenye Asian Dramas,kama anataka drama za akili aelekeze majeshi kwa za Kimarekani ndio hakuna comedy hizo anazozichukia.

Kuna vitu kwenye dramas havikwepeki mtu anaviponda then anajiita mdau wa K-Dramas
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama una sauti inaamsha amsha fanya tu riziki popote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hizo comedy ndio zimenifanya nipende kdrama. Yaani niangalie episode 16 nisicheke hata mara moja? Hapana aisee hiyo drama inipitie mbali [emoji1787][emoji1787] na ninawasihi wakorea hii ladha wasije kuthubutu kuiacha watakuwa wameharibu...anayeona anakereka aondoke yeye

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba link tafadhari
Sijui namna ya kuweka ila Ingia www.dramacool.com kisha bofya search button andika kibongo chochote kikali unachokitaka.

Ila hiyo Dee Jo Young ndefu sana ina fika mpk 100 kama sikosei Jang Yeong Sill ni fupi kama sikosei ni episode 12 mm nipo ya 2 ila ni ya Kitaalamu haina actions na mizuka mingi.Ukitaka historical kali zenye kila kitu Cheki;

1.Emperor of the Sea
2.Bichumo
3.Jumong
4.Land of winds (kingdom of the winds)
5.King Gwangaeto

Hizo unaweza kukesha usiku mzima kama mwehu uko bize unawatch series..
 
Nashukuru Sana, hizo na 1 Hadi 5 zote nimeziona, hapa nataka king geunchogo, king's face season 2,pia Kuna yule mtoto wa "dong yi" sijajua series yake inaitwaje na nyingine. Ngoja nianze na hiyo Jang Yong Sill
 
Hi
Hii not found kiongozi
 
Ndo maana holliwood ndo namba 1 duniani , ma sterling wapo serious

Hapa nashuka na royal secret agent, kuna scenes jamaa wamezingua [emoji3] sterling hayupo serious kabisa

Kuna yule mwamba wa "tell me what you saw" hakua na masihara

Six flying dragons watu hawana huruma huruma
Mimi masterling wenye huruma huruma hasa kwa maadui wananiboa
 
Nashukuru Sana, hizo na 1 Hadi 5 zote nimeziona, hapa nataka king geunchogo, king's face season 2,pia Kuna yule mtoto wa "dong yi" sijajua series yake inaitwaje na nyingine. Ngoja nianze na hiyo Jang Yong Sill
Mimi za KiBaikije sielewi kabisa na sijawahi kuimaliza series inayohusu Baikije hata moja nilijaribu ile star anaitwa Yeogu(Yogusu) nikaishia kati , mimi nakubali zaidi stori ikihusu Gugreyo.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Lawama zooteee namdondoshea innocent dependant a.k.a hyziech na masuala yake ya taste buddies
Tatizo wakosoaji wanatumia lugha kali sana, tukubaliane tu series ikikukataa basi usishambulie watu , life lisogee sasa mtu uanze wakorea comedy nyingi, wakati baddhi ndo tunachokitafuta apo kwa kina Mo palmo , yule mzee wake dong yi na kijana wake๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kuna baadhi ya watu Wanapenda kitu kimoja tu kwenye movies, Kama action ni action tu, au Kama romance ni romance tu. Sasa hao wakikosa wanachokipenda wanaona series/ movie mbovu. Ila Kama unapenda vitu multiple Kila movie kwako Tamu, ukikosa romance unakutana na comedy, ukikosa comedy unakutana na action, ukikosa fiction unakutana na historical drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ