talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Ngoja nimsaidie kujibu maana nimemgoogle actress mmoja hapo nikaipata
Once in a Lifetime, Kilimanjaro
Asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimsaidie kujibu maana nimemgoogle actress mmoja hapo nikaipata
Once in a Lifetime, Kilimanjaro
Ngoja nimsaidie kujibu maana nimemgoogle actress mmoja hapo nikaipata
Once in a Lifetime, Kilimanjaro
Naona dramanice na nkiri hawana
Nimeiona huko ila sijaweza kui download- MDL
Hata kimoi sijaiona ila google ipo sehemu ambazo hatujazizoea
hapa ni mb kuanzia 700
![]()
Once in a Lifetime, Kilimanjaro - Episode 1 (2022)
www.tteokbokkisubs.com
All of us are dead nimeiona labda hizo zengine ndio nizitafute.Tafuta Alice In Borderland, Big Mouth na All of Us Are Dead
Naunga mkono hoja.Naona mnapigizana makelele.
Leteni maujanja ya mseleleko
Acheni makelele
Dramafire[emoji16]huwezi amini kilichomtokea lee seung gi pamoja na umaarufu wake wote . . lee seung gi alikua chini ya kampuni ya HOOK ent. inayosimamia kazi zake za kisanii, licha ya kuwa mwigizaji alikua ni mwanamuziki pia, lakini cha ajabu ndani ya miaka 18 ya kutoa nyimbo (jumla nyimbo 137) management hiyo haijamlipa hata mia, narudia hata ile mia hajapewa kwa miaka 18 wakawa wanamdanganya haingizi pesa anatia tu hasara . . kwa miaka yote hiyo actor huyo wa vagabond na my girlfriend is gumiho/gu family book amekua akiamini hatengenezi faida kwenye mziki sababu ndio kitu alikua naambiwa na HOOK tangu mdogo ila mwaka huu ndio akaja akastuka kwa mara ya kwanza ndio kudai haki yake [emoji119] media ijulikanayo kama dispatch ya korea ikafanya uchunguzi ikagundua lee seung gi ameingiza jumla ya usd 7.1 million ambayo ukileta kwenye fedha za kibongo inakua ni billion 16.5 kwenye mziki pekee [emoji15] . . polisi nao wakaingilia kati, management yake ikaona aibu na sasa lee amelipwa billion 8.8 (nishaziweka kwenye fedha za tz) lakini lee ametoa zote kwenye vituo vya wahitaji (charity) na amewashtaki managament yake kwa udhulumaji na udanganyifu wa fedha waliofanya na amevunja mkataba
Source insta
Wanaume wenzio wanampiga vita sana huyo jamaa[emoji16]Best drama to me jumong and faith and best actor ni lee min ho na han hyo joo
Mi Shili alifanya kazi kubwa sana mule ndani, anakuua huku anacheka.
Kuna zile ngoma zinapigwa Mishil akiwa stressed ( ngoma kama glass zinagongwa hivi), watu wa music walifanya poa sana nimeshangaika kuipata hiyo beat ila imeshindikana.
uwezo wa kutupa mualiko watu wote huna, ila uwezo wa kuchagua japo mmoja wao sidhani kama unakushinda.To all kdrama famiy
Asante sana mkuu, kwa moyo wako wa kusogeza vitu hapa.
kunywa chai ulale, au waruguru hamunywi chai nyakati za usiku?Asante sana mkuu, kwa moyo wako wa kusogeza vitu hapa.
kunywa chai ulale, au waruguru hamunywi chai nyakati za usiku?
sisi wapemba muda wowote ni ruhusa kunywa chai.
nimezipokea shukrani zako, naamini zimetoka kwenye nafsi ilio safi.