choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Sema huyo Naksu ni mzuri hadi keroSema S02 mapigano yamepoa siyo kama S01...Jang Uk ana ice stone lakin bado sijaona mapigano yakusisimua kabisaaa
Kwasababu gani hukuipenda?Mimi sikuipenda wala
Inaitwa queen for 7 days iko poaKuna movie ya korea naitafuta.Jina Kama linasema Last king of korea niliiona kidogo nikaipenda lkn sikuimalizia Kuna mahali mfalme alienda porini kuoga mtoni peke yake akakutana na binti ambae badae alimbeba kwenye guta kumrudisha mjini baada ya mfalme kupewa kinywaji chenye kilevi akalewa.Nimeeleza kidogo Kama mtaijua hii movie.
Hee we nawe kwani kesiKwasababu gani hukuipenda?
Hii huwa ninaipita tu, kwakua jina halinivutii.Hi ndo nimeinasa leo, kiufupi ni hatari [emoji91][emoji91] inaitwa royal gambler 2016View attachment 2470041
Njema sana mkuu.Wazee wa drama za akili nyingi habari za mwaka mpya[emoji847][emoji16]
Nimekuuliza hivyo sio kwamba nimeiyona ila nataka nijue reason yako ili inipe Mwanga niicheki au niipotezee si unajua bando limeshakuwa la budget sasa hivHee we nawe kwani kesi
Mimi huwa siwezi kuelezea kwa nini napenda au sipendi kitu. Inaapply kwa watu pia [emoji125][emoji125]Nimekuuliza hivyo sio kwamba nimeiyona ila nataka nijue reason yako ili inipe Mwanga niicheki au niipotezee si unajua bando limeshakuwa la budget sasa hiv
Umeangalia The Glory? Ina episode nane tu na kama ukipakua nkiri unapata less than 80mb per episodeNimekuuliza hivyo sio kwamba nimeiyona ila nataka nijue reason yako ili inipe Mwanga niicheki au niipotezee si unajua bando limeshakuwa la budget sasa hiv
Hapana sijawahi kuicheki vipi ni nzuriUmeangalia The Glory? Ina episode nane tu na kama ukipakua nkiri unapata less than 80mb per episode
Mimi nimeona ni nzuri nahisi hata wewe unaweza kupenda maana haina comedy zile usizopendaHapana sijawahi kuicheki vipi ni nzuri
Hapa umenifurahisha sana ebu nenda hapo kwa Mangi unywe soda ya baridi alafu nitakuja kulipaMimi nimeona ni nzuri nahisi hata wewe unaweza kupenda maana haina comedy zile usizopenda
Usipoipenda usirudi kunichamba tu [emoji16][emoji16]Hapa umenifurahisha sana ebu nenda hapo kwa Mangi unywe soda ya baridi alafu nitakuja kulipa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usipoipenda usirudi kunichamba tu [emoji16][emoji16]
Nina some free days, help to suggest niangalie Nini on hand Nina
Under queen's umbrella
Cheer up, penthouse (season zote), graceful friends, little women and golden spoon....nianze na nini
Little women nilishindwa kabisa kuimalizaunder queen umbrella kisha penthouse kisha cheers up