Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna movie ya korea naitafuta.Jina Kama linasema Last king of korea niliiona kidogo nikaipenda lkn sikuimalizia Kuna mahali mfalme alienda porini kuoga mtoni peke yake akakutana na binti ambae badae alimbeba kwenye guta kumrudisha mjini baada ya mfalme kupewa kinywaji chenye kilevi akalewa.Nimeeleza kidogo Kama mtaijua hii movie.
Inaitwa queen for 7 days iko poa
 
Nina some free days, help to suggest niangalie Nini on hand Nina
Under queen's umbrella
Cheer up, penthouse (season zote), graceful friends, little women and golden spoon....nianze na nini
 
RECIPE FOR FAREWELL DRAMA:
Mwaka 2023 nimeuanza na project hiyo ilioonekana mwishoni mwa mwaka 2022.
Drama ina episode 12 na kila episode imebeba wastani wa dakika 30.
Nimeangalia episode tatu mpaka naandika comment hii,
Imenivutia na kuipenda.
==========

Chang-Wook (Han Suk-Kyu) is in his 40's. He works as a translator and a humanities instructor.

His wife (Kim Seo-Hyung) suffers from terminal bowel cancer. She also has difficulties eating, because of digestive problem.

She asks Chang-Wook to cook for her everyday, even though the only thing he knows how to make is ramen. Chang-Wook begins to cook for his wife and she eats little bits of his food, which he cooks with love and care.
1673203869212.png
 
Ukimaliza kuangalia drama hiyo, jisogeze mpaka hapa. hii ina jumla ya episode 4
Inaitwa

The Most Beautiful Goodbye (2017) drama:
An ordinary middle-aged woman (Won Mi-Kyung) has devoted her life to her family. She is diagnosed with terminal cancer and must prepare her goodbye to her family.


1673204471632.png
 
Back
Top Bottom