[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila inno kazidi kutwa kulazimisha drama anayoipenda yeye
Mimi kwenye suala la tastes huwa naangalia drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.Hii vita ya "taste" ni kali mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haijawahi kumuacha mtu salama na watu wanavojua kupiga spana yani drama uliyoikubali unaweza kuta mtu anainanga hatari. Sema ndio vile taste zetu haziwezi kufanana inabidi tuvumiliane
Kwanza inawezekanaje mtu ukapenda genre moja tuu yani inawezekanaje. Mimi sio muumini wa genre ya aina moja naaminigi mpaka drama imeachiwa chini ya production team yenye proffesionals lukuki basi inafaa kutazamika japo shortcomings zinakuwepo.Mimi kwenye suala la tastes huwa naangaloa drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.
Nawapenda Wakorea kiasi kisichoelezeka hata hizo drama anazozungumzia jamaa nazipenda ila nachukiaga sana hizi romance zetu zinapopondwa
Wala hatofika huko, presha yangu kwa ulimwengu wa mtandaoni naweza kuidhibiti.[emoji1][emoji1] anataka kumtoa povu harabujii Salim[emoji1787]
Ah inno anajua kuliamsha hahaha
I wish hilo liwe gazeti la mwisho, naomba liwe katika kumbukumbu zako.π€£π€£πππππgazeti la poyoyoπππππππ€£π€£π€£π€£π€£
Wala hatofika huko, presha yangu kwa ulimwengu wa mtandaoni naweza kuidhibiti.
Kwa nini nipandwe na ghadhabu dhidi ya kiumbe mwenzangu nisiyemuona.
Kwa hilo Mungu azidi kuniepusha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa ana mahaba na defendant mpaka basi[emoji1787][emoji1787] mi nilipoona mfano innocent defendant nimecheeeka alaf chin Nakutana na comment yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wewe upo kama mimi yaani kwa wakorea napenda kila kitu kasoro zombiesMimi kwenye suala la tastes huwa naangaloa drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.
Nawapenda Wakorea kiasi kisichoelezeka hata hizo drama anazozungumzia jamaa nazipenda ila nachukiaga sana hizi romance zetu zinapopondwa [emoji23]
Kweli kabisa mimi mbona huwa zinanichosha sana...siwezi kuangalia drama za genre moja tatu mfululizoKwanza inawezekanaje mtu ukapenda genre moja tuu yani inawezekanaje. Mimi sio muumini wa genre ya aina moja naaminigi mpaka drama imeachiwa chini ya production team yenye proffesionals lukuki basi inafaa kutazamika japo shortcomings zinakuwepo.
Mimi naamini ili mtu ufurahie kutazama k-drama basi uepushe unnecessary comparisons yaani uitazame drama jinsi ilivyo yenyewe kwa sababu every drama is unique in its own way. Yaani how come mtu uwe muumini wa genre moja tuuu sielewi maybe tunatofautiana mimi nikiangalia genre moja kwa drama zaidi ya 3 nakinai.
Ni nzuri ndio maana lazima itajwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hiyo defendant tunakoma mbona
Kazi nzuri lazima itajwe mkuu Ukiona hivyo hakuna drama yoyote iliyoizidi au inayofanya nilisahau hii innocent defendantSidhani kama kuna member makini wa hili jukwaa hajui kama huyu jamaa anaipenda Innocent dependant, yupo kweli?[emoji28][emoji1]
Huwa unanifurahisha sana mkuu.
Hizi sasa ndio drama hatimaye wamesikia vilio vyetu
Vengeance of the bride ni hatari mno kwanza nimevutiwa na main character yupo vizuri zaidi ya Sana amecheza kwenye dangerous promise alifanya poa Sana kitu Cha pili nilichopenda ni namna ya story ilivyotengenezwa kiufundi Sana, ina matukio mengi inayomfanya mtazamaji avutiwe zaidi kuutazama japo ni ndefu
Dah! Nimeandikiwa gazeti la michambo π€£π€£π€£π€£πππππgazeti la poyoyoπππππππ€£π€£π€£π€£π€£
Fake poster hiyo imetengenezwa tangu 2021[emoji23]
OKPiece of sh**