Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
Wote mkuuHivi jamani hii nkiri ni mimi tu ndo siipati au wote?
Wazembe hao,at least Wasafi kidogo kuna kipindi walipiga sana za BTSIfike mahali redio na tv za bongo zianze kupiga kpop kama zinavyopiga nyimbo za Marekani, Nigeria, Ulaya n.k
Kweli eeeh? Sijawahi kusikia hata huko wasafiWazembe hao,at least Wasafi kidogo kuna kipindi walipiga sana za BTS
Ifike mahali redio na tv za bongo zianze kupiga kpop kama zinavyopiga nyimbo za Marekani, Nigeria, Ulaya n.k
Ndio hapo sasa... Kuna siku wakati mgeni bado niliangalia video ya blackpink nikaona video ina 1b nilishtuka sana ndio kuangalia kumbe wenzetu huko duniani views bilion wanafikisha sana tuInamaana hawafanyi hata research kpop kuwa viewers 100M ndani ya wiki mbili kawaida
Ndio hapo sasa... Kuna siku wakati mgeni bado niliangalia video ya blackpink nikaona video ina 1b nilishtuka sana ndio kuangalia kumbe wenzetu huko duniani views bilion wanafikisha sana tu
Hivi huko Korea kuna wapenzi wa African dramas?Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Hivi kumbe, kuna African dramas?Hivi huko Korea kuna wapenzi wa African dramas?
Aka kadem kazuriUn matched beautyView attachment 2482656
Africa kuna drama au utopolo tu!Hivi huko Korea kuna wapenzi wa African dramas?
Wangapi tumechekj hii show View attachment 2483441
Moon Ga Young humu ndani ananikera sana namna anavyojifanya kama kavurugwa anavyojiweka mbali na mshkajiNatizama Interest of love awwww
Sijui ila inasisimuaa
Huyu yoon yoo seok anajuaga vya kupendana[emoji2]
Ni tamu sana aisee vijana wamenifurahisha sana ila dah kuna pisi nzuri hiyo kama malaika[emoji1787]Mimi nilitazama season 1 mpaka episode ya 3 nikaachana nayo
Ila naona hii season 2 ina hyper
Na nimeona cast ya seaoson 3 ya Mc’s sijui
Ipoje lakin
Ile kilimanjaro hamna subtittle naona mateso tu
Moon Ga Young humu ndani ananikera sana namna anavyojifanya kama kavurugwa anavyojiweka mbali na mshkaji