Ni tamu sana aisee vijana wamenifurahisha sana ila dah kuna pisi nzuri hiyo kama malaika[emoji1787]
We acha tu!Aka kadem kazuri
Na mimi naitizamana ina kastori kazuri ka mapenzi,tunaopenda drama za hivi hapa hawajatuangusha kwakweliNatizama Interest of love awwww
Sijui ila inasisimuaa
Huyu yoon yoo seok anajuaga vya kupendana[emoji2]
Na mimi naitizamana ina kastori kazuri ka mapenzi,tunaopenda drama za hivi hapa hawajatuangusha kwakweli
Hii chuma nimeangalia..nikaamua kurudia upya kuangalia. Ni motooHi ndo nimeinasa leo, kiufupi ni hatari [emoji91][emoji91] inaitwa royal gambler 2016View attachment 2470041
Unapenda na Chinese series???Hii chuma nimeangalia..nikaamua kurudia upya kuangalia. Ni motoo
Mbona mnataka kunitoa kwenye malengo yangu [emoji16]Sana sana
Yani hadi mishipa inaamsha hisia
Nilifall na korean drama kwa stori za hivi yani
Mbona mnataka kunitoa kwenye malengo yangu [emoji16]
Ongoing hujanishauri bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkianza kuspoil nahama uzi[emoji23][emoji23]
Malengo kitu ganiii
Em njoo huku tuteseke na ongoing[emoji3]
Siunajua care za yoon yoo seok
Ongoing hujanishauri bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkianza kuspoil nahama uzi
Kim sabuuuuHiyo ndio target list kwa mwaka 2023.
- Arthdal chronicles season 2
- Romantic doctor teacher kim season 3
- Taxi driver season 2.
Inshaallah.
Napenda ila Sijui Kwa kuzipata. Ila ziwe za zamani.Unapenda na Chinese series???
Download hata YouTube au vidmateNapenda ila Sijui Kwa kuzipata. Ila ziwe za zamani.