NB:KUANGALIA ONGOING DRAMA NI BORA ZAIDI KULIKO KUSUBIRI IISHE au SUPU UNYWEA IKIWA MOTO anyway sijui nilitaka kumaanisha nini ila kila onging drama ni nzuri[emoji23]
NB:KUANGALIA ONGOING DRAMA NI BORA ZAIDI KULIKO KUSUBIRI IISHE au SUPU UNYWEA IKIWA MOTO anyway sijui nilitaka kumaanisha nini ila kila onging drama ni nzuri[emoji23]
Huyu Bi mkubwa ni maarufu sana kwenye Korean dramas.3.Agency so far EP 1-4 Story imeenda vizuri
vita ya kugombea nafasi za juu ofisini
mwanamama anapigania nafasi yake
Nasubiri episode ya 5
View attachment 2485356View attachment 2485357View attachment 2485358
Weeh hukutizama curtain call ikiwa ongoing
Yani mpaka unakasirika
A list wasanii ila stori mnh
Hapo niko na interest of love
Namba 3&4 nitazifatilia ila zitembee kidogo
Asante kwa recommendations
Curtain wamezingua sana. Ilikua kila nikiiangalia namfikiria inno anavyosonya shujaa wake kupoozeshwa kivile
Hii drama nitaiangalia kwa sababu ya huyu mama3.Agency so far EP 1-4 Story imeenda vizuri
vita ya kugombea nafasi za juu ofisini
mwanamama anapigania nafasi yake
Nasubiri episode ya 5
View attachment 2485356View attachment 2485357View attachment 2485358
Humo shujaa wake ni yupi?
Sijawah kuitazama hiyo innocent defendant [emoji2960]
Mimi nilimfata huyo kang ha neul
Tangu when camelia blooms Na kale ka deity kweny doom at your service
Ila hata sehem ya 16 nikaona nisiitazame tu
Shujaa wake wa Empress Ki Ha jiwon[emoji16][emoji16][emoji16] defendant amecheza Jisung babe wake Lee bo youngHumo shujaa wake ni yupi?
Sijawah kuitazama hiyo innocent defendant [emoji2960]
Mimi nilimfata huyo kang ha neul
Tangu when camelia blooms Na kale ka deity kweny doom at your service
Ila hata sehem ya 16 nikaona nisiitazame tu
Kila la kheri mpaka x-mass zitakuwa completedSiku hizi nimedondokea kwenyw family zaidi shukrani kwa hizo ongoing recommendations ntavuta kila zinapotoka zikiisha zitulie tu nitaziangalia pasaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Curtain call sikubahatika kuitazama ntaishusha nikiishiwa mana nina stock kubwa sana,shukrani kwa recommendationWeeh hukutizama curtain call ikiwa ongoing
Yani mpaka unakasirika
A list wasanii ila stori mnh
Hapo niko na interest of love
Namba 3&4 nitazifatilia ila zitembee kidogo
Asante kwa recommendations
Shujaa wake ni ha ji won kwa alivyoruka ruka kwenye empress Ki. Mie niliiangalia tu kimkumbo baada ya kutajwa tajwa humu. Tena utakua ulikua unaitaja nikaona bora niivute nisipitwe uhondo
Shujaa wake wa Empress Ki Ha jiwon[emoji16][emoji16][emoji16] defendant amecheza Jisung babe wake Lee bo young
Nkiri bana link zake zinawahi kuexpire inakua hasara tena. Nilidownload wee kupumzika kidogo nichaji simu kurudi vitu vimegoma. Dawa ni kupambana na kimoi japo mb tele kusubiri kaziView attachment 2486068Hapa ni kuzifuta zote na kuanza upya
Ya sema hizi scene za migahawani zinasikitishaga sanaHuyu Bi mkubwa ni maarufu sana kwenye Korean dramas.
Yan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop
Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji41]
Innocent defendant ni movie ya kawaida niliiachia Ep 4 kwa sabb mbalimbaliHumo shujaa wake ni yupi?
Sijawah kuitazama hiyo innocent defendant [emoji2960]
Mimi nilimfata huyo kang ha neul
Tangu when camelia blooms Na kale ka deity kweny doom at your service
Ila hata sehem ya 16 nikaona nisiitazame tu
Ndio idol wako sioHii drama nitaiangalia kwa sababu ya huyu mama
Bila shaka hii ni family drama,ushawahi angali my father is stranger ni nzuri au?Nkiri bana link zake zinawahi kuexpire inakua hasara tena. Nilidownload wee kupumzika kidogo nichaji simu kurudi vitu vimegoma. Dawa ni kupambana na kimoi japo mb tele kusubiri kaziView attachment 2486068Hapa ni kuzifuta zote na kuanza upya