Ungejaribu kushusha kwa kutumia telegram hakuna tatzo la kustop iYan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop
Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji41]
Bila shaka hii ni family drama,ushawahi angali my father is stranger ni nzuri au?
ule mwanga nenda settings kisha display and brightness halafu ongeza muda wa screentime out. Ila browser nyingine zinapiga kazi hata mwanga ukizima
Ungejaribu kushusha kwa kutumia telegram hakuna tatzo la kustop i
Nampendaga tuNdio idol wako sio
Kimoi leo nimeambiwa access deniedNkiri bana link zake zinawahi kuexpire inakua hasara tena. Nilidownload wee kupumzika kidogo nichaji simu kurudi vitu vimegoma. Dawa ni kupambana na kimoi japo mb tele kusubiri kaziView attachment 2486068Hapa ni kuzifuta zote na kuanza upya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah inno atasikitika sana akisoma hii komenti yakoInnocent defendant ni movie ya kawaida niliiachia Ep 4 kwa sabb mbalimbali
Sawa ngoja niishushe hiyo father strangerHio inaitwa red ballon naona ni ongoing mwisho episode 20 sijajua kama ni family drama. Father is stranger nzuri sana ina vituko vitamu
Hii mimi pia ilinishinda kabisaKuna utopolo unaitwa "secret healer" zipo eps 20 ila nimeishia 14 tuu , nimepoteza mb bure
Pitiaga mydramalist kule uone review za watu au humu pia siku nyingineKuna utopolo unaitwa "secret healer" zipo eps 20 ila nimeishia 14 tuu , nimepoteza mb bure
Drama bora ya muda wote kwa mifano kwake [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah inno atasikitika sana akisoma hii komenti yako
Kimoi leo nimeambiwa access denied
Wangapi tumechekj hii show View attachment 2483441
So-e mtoto mdogo anateswa na mapenzi[emoji23]Nimetizama hadi ep ya 5 naona hakukuchi nishushe kwa kitonga zilizobaki
Its an Amazing show
So- e[emoji22]
So-e mtoto mdogo anateswa na mapenzi[emoji23]
Sema alipenda sehemu sio maana Yoong Jae alifall in love at first sight kwa Seo Eun hadi anajikuta hana interest na wanawake wengjne.
Ila kwa uzuri wa Seo Eun halali yake mtoto kaumbika aisee yupo pretty from head to toe
Jibu la swali nililokuwa najiuliza sana nimepata kumbe Seo Eun alikuwa Miss Korea 2021 nilitaka kushangaa ule uzuri sio wa kawaida.Hahaha
Yani kampenda hadi basi
So eun mzuri
Ila ningekua mkaka Se jeong ndo angekua my ideal
Hahah Doctor Dong woo tangu apewe za mbavu akawa mpole[emoji3]
Siku nyigin mkuu unamodify extension ya file mfano io red bag ukienda location iliko download utaikuta Kama red balloon.mkv.crdownl ichange I we red baloon.mkv sema mwishoni haitaplay mana ni incomplete download nzuri sana kwa bando za nape hiiNkiri bana link zake zinawahi kuexpire inakua hasara tena. Nilidownload wee kupumzika kidogo nichaji simu kurudi vitu vimegoma. Dawa ni kupambana na kimoi japo mb tele kusubiri kaziView attachment 2486068Hapa ni kuzifuta zote na kuanza upya
Jibu la swali nililokuwa najiuliza sana nimepata kumbe Seo Eun alikuwa Miss Korea 2021 nilitaka kushangaa ule uzuri sio wa kawaida.
Ila Jin Young ningekuwa mshauri wake ningemsihi awe na Min Su naye alikuwa Miss Korea 2020 halafu anampenda sana mshkaji ila jamaa vile hakuwa interested nae hadi mtoto wa kike alivyorudi chumbani akawa analia ooh.
Halafu ndio ideal type ya mwanamke anayetaka maana anataka aliye tayari stable ili wawe kwenye serious relationship ukizingatia Seulki ni mwanafunzi wa chuo halafu Nadine pia mwanafunzi tena fani anayosoma itamfanya awe bize sana kuanzia sasa,na hiyo ndio sababu pia Dong Woo alifuta interest yake kwa Nadine kwa sababu anajua experience ya kusomea udokta alikopitia itakuwa ngumu kuwa kwenye serious relationship.
Se Jeong nilimpenda sana ila bahati mbaya hakuwa na nyota hata Paradise hakupaona,nikiwa kama mmoja kwa shabiki yake nikatia neno insta story akaniuliza kama nataka kujoin wafuasi wake[emoji16]