Siku nyigin mkuu unamodify extension ya file mfano io red bag ukienda location iliko download utaikuta Kama red balloon.mkv.crdownl ichange I we red baloon.mkv sema mwishoni haitaplay mana ni incomplete download nzuri sana kwa bando za nape hii
Eti mifupa,sema beauty standards zao naonaga za kikuda mtu anapunguza uzito hadi anakuwa kama skeleton[emoji23][emoji23]Hahah
Fanboy kwenye ubora wako
Duh, sio tu walishiriki ila ndo winners? Hatari
Bhana jin young sio alitaka kulelewa[emoji1787]
Nadeen, kwakweli ni kikwazo elimu na umbali, sema kwa ndoto za jinyoun za kufanya military content US wangefit, ila mifupa mingi[emoji848]
Eti mifupa,sema beauty standards zao naonaga za kikuda mtu anapunguza uzito hadi anakuwa kama skeleton[emoji23][emoji23]
Jinyoung hajamaanisha anataka kulelewa ama mwanamke stable kipesa,ni stable kimazingira yupo free hata kwa date anytime akimtaka,mwanafunzi ni ngumu sana kwa kuwa amebanwa na ratiba za masomo hata time ya kuwa pamoja mnakosa sasa hapo ndio pale ambapo watu wanaachanaga.
Min Su(26) naona ndio alikuwa sahihi kwake kwa kazi yake anamiliki brand yake ya online store na ana wafanyakazi wake hapa jamaa kuspend nae time hata weekend yote ama mid week haiwezi kuwa ngumu,ila ni kama anataka kufanyia mishe zake Korea.
Kama ana mpango wa kufanyia kazi zake Marekani seriously basi Nadine ndiye sahihi kwake,ila ana kazi sana ya kumsubiri kama atataka amuoe maana masomo ya medical yanaweza kumchukua hata miaka 4-5 toka sasa hadi kumaliza.
So jamaa ana miaka 28 hivyo atakuwa kashatimiza 33 halafu mtoto wa kike atakuwa ana 28.
Hiki ndio Dong Woo kimemshinda.
Ila alishamwabia atamsapoti hadi ndoto zake zitimie.
Nilivyosema tu story ya Curtain sikuipenda kabisa na kikajua kabisa kama kawaida yao madirector wameshindwa kumpa heshima ha ji won kama walivyompiga na kitu kizito kwenye chocolate nashukuru kwa kunipa mrejesho japo sijaaingalia nimepata picha halisi kwa Maoni yenu humu kwa kweli nimeona nilikuwa sahihi kutoiangalia maana kila nikitaka niangalie hivyo hivyo ila moyo unasita kabisa.Curtain wamezingua sana. Ilikua kila nikiiangalia namfikiria inno anavyosonya shujaa wake kupoozeshwa kivile
Mkuu ebu Tutake radhi aisee Innocent defendant ni ya kawaida kwa misingi ipi? Eti Numbisa unakubaliana na huyu mdauInnocent defendant ni movie ya kawaida niliiachia Ep 4 kwa sabb mbalimbali
Umeicheki The empress ki au The clownZa vijijini mpaka sasa nimesaka nyingi ila bado hakuna kama six flying dragons
Yah nampenda Min Su pamoja na Sejeong nilitamani wapate partners ndio vile tena wanaume wana tamaa wale wanajijaza kwa mwanamke mmoja huku wanawaacha wengine wapweke.[emoji1787][emoji1787] khaa standard za vile
Akipigwa na barid unakaonea huruma
Sema jinyoung na kipato, huoni alivyokua anajielezea sana kwanza he used to be UDT for four years kabla hajawa YouTuber, inaonyesha insecurities zake
Ulimpenda Min Su
Hahaha mi nlidhani ameletwa awe kivuruge hahah, pale alipomwambia kama akisha set macho yake sehem ni hivyo hivyo naona jy alitaman kulia
Nimetizama season One sasa kwa utulivu
Jintaek anamsemaje sooyeon baada ya kumpa ma hope yote vile
Ngoja nizitafute, empress ki, niliiona ila nikaipotezea kudowloadUmeicheki The empress ki au The clown
Alafu uliniahidi mkuu utanipa list nyingine za korea drama kaliNgoja nizitafute, empress ki, niliiona ila nikaipotezea kudowload
Yah nampenda Min Su pamoja na Sejeong nilitamani wapate partners ndio vile tena wanaume wana tamaa wale wanajijaza kwa mwanamke mmoja huku wanawaacha wengine wapweke.
Halafu umenikumbusha sehemu anayofanyia kazi Se Jun kama tailor ni kwa Jin Taek.
Dating shows tamu sana kuna moja naicheki now hii ni ya moto humu ndani mabusu ruksa[emoji23][emoji23]
Kama ni mpenzi wa time loop kama zile tunnel, au signal jaribu kuangalia life on mars ni nzuriAlafu uliniahidi mkuu utanipa list nyingine za korea drama kali
For me sijaona sehemu yenye matukio yanayotabirika kama ulivyosema weweSijasema ni mbaya lakini ni ya kawaida tu matukio mengi yanatabirika
Mimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.kSijasema ni mbaya lakini ni ya kawaida tu matukio mengi yanatabirika