Tukio la kuuliwa afu adui anaacha note sio tukio la kutabirika hilo?For me sijaona sehemu yenye matukio yanayotabirika kama ulivyosema wewe
Taste yako ni yakipekee jaribu hiyo life on mars naona ipo serious sanaMimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.k
Bila shaka hii ni family drama,ushawahi angali my father is stranger ni nzuri au?
Yan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop
Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji
Yan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop
Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji41]
Guyz tumien telegram kudonwloadia achanen na izi link hasa kw ndg zng wa vitonga, telegram unapata movie quality na Ata km mtandao hauko poa movi haicancel inaendelea ilipoishia
Hii drama nilikuwa naitamani ila nkiri haipo
Kwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tenaGuyz tumien telegram kudonwloadia achanen na izi link hasa kw ndg zng wa vitonga, telegram unapata movie quality na Ata km mtandao hauko poa movi haicancel inaendelea ilipoishia
Hapo chacha mimi siku hizi nimekuwa mvivu nikiona drama episode kuanzia 150 na kuendelea naachana nayoMkuu kuna saa tatizo sio mb tatizo ni muda wa kusubiria drama ishuke yote. Mb 200 siku hizi naona uvivu sana kuzisubiria naishia mb 190. nkiri kule kuna drama ina hadi mb 60,
Ila kama tatizo uchumi haina shida yule mwanamke atamsapoti tu maana anampenda sana jamaa[emoji23]Enhee ndo nliona
Wale so eun wenyewe hawakunini ile siku ya mwisho ya paradise[emoji4]
Mwanaume alikua hajielew elewi
Hiyo drama ikikushinda achana nayo tu mimi nwenyewe niliona nyotanyota nikaikacha yaani ipo kama ile michezo ya Kibongo ya mchana ITV[emoji23][emoji23]Wakuu nimedownload Pachinko episodes sasa nimeangalia episode ya kwanza naona ipo slow siilewi hivi. Kwa walioiona vipi ni nzuri huko mbeleni au niitupe kwa dustbin
Kumbe ngoja nicheki episode ya pili nikiona siilewi inakula panga🤣Hiyo drama ikikushinda achana nayo tu mimi nwenyewe niliona nyotanyota nikaikacha yaani ipo kama ile michezo ya Kibongo ya mchana ITV[emoji23][emoji23]
Hiyo ni mbaya wala usije kuangaika kuchoma mb zakoKumbe ngoja nicheki episode ya pili nikiona siilewi inakula panga🤣
Enewei n sw lakn me kw episode 1 km quality yk ipo chn ya 200 MB siwez angalia ata iwe nzur vp zaid sn ntaitafuta yeny quality nzur naangalia.Mkuu kuna saa tatizo sio mb tatizo ni muda wa kusubiria drama ishuke yote. Mb 200 siku hizi naona uvivu sana kuzisubiria naishia mb 190. nkiri kule kuna drama ina hadi mb 60,
Sijajua km n sim au vp lakn me telegram ndo kila kitu ata km movie ina 2 GB telegram chap kwa hrkKwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tena
Kwa kitonga me nawez kushusha mzigo wa ep 16 kwa usk m1 200 MB+ pa episode telegram. Wireturn is something inahitaj tu baadh ya vitu kupg kaz me Hua na kiburi ata cha kudownload Episode HD 500MB+Kwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tena
Kitonga cha Wiretun sijawahi kukikubali ile shughuli ya kucheza na kindege si ya kitoto labda uniambie kuna namna unafanya kuiset bila kutegemea kucheza na kindegeKwa kitonga me nawez kushusha mzigo wa ep 16 kwa usk m1 200 MB+ pa episode telegram. Wireturn is something inahitaj tu baadh ya vitu kupg kaz me Hua na kiburi ata cha kudownload Episode HD 500MB+
Yeah kuna app unaset inakua inazima na kuwash kindege kila baad ya muda uloweka.Kitonga cha Wiretun sijawahi kukikubali ile shughuli ya kucheza na kindege si ya kitoto labda uniambie kuna namna unafanya kuiset bila kutegemea kucheza na kindege
1.Jumong ,hii iloonyeshwa ITV miaka ya nyuma ilivyoisha watu wakaomba iludiwe Capital Tv ikarudiwa na mwaka jana imerudiwa tena ITV .Za vijijini mpaka sasa nimesaka nyingi ila bado hakuna kama six flying dragons
Nikimaliza Jang Yeong Sill na Dae Jo Young nitakutafuta na hiyo.Za vijijini mpaka sasa nimesaka nyingi ila bado hakuna kama six flying dragons
Hiyo six flying dragons ni zaidi ya 🔥🔥, humo utawakuta kina sabong, Ina season 2 inayoitwa hidden root ya kina jang hyukNikimaliza Jang Yeong Sill na Dae Jo Young nitakutafuta na hiyo.
Angalia the veil, my country na tell me what you saw ni 🔥🔥 hutojutiaMimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.k