Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.k
Taste yako ni yakipekee jaribu hiyo life on mars naona ipo serious sana
 
Guyz tumien telegram kudonwloadia achanen na izi link hasa kw ndg zng wa vitonga, telegram unapata movie quality na Ata km mtandao hauko poa movi haicancel inaendelea ilipoishia
Bila shaka hii ni family drama,ushawahi angali my father is stranger ni nzuri au?

Yan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop

Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji

Yan changamoto ya kitonga mimi nishikilie simu ikizima ule mwanga na yenye inastop

Au ni setting, ni kazi ukiwa na mambo mengine[emoji41]
 
Attachments

  • Screenshot_20230123-005810_Telegram.jpg
    Screenshot_20230123-005810_Telegram.jpg
    257 KB · Views: 20
Mkuu kuna saa tatizo sio mb tatizo ni muda wa kusubiria drama ishuke yote. Mb 200 siku hizi naona uvivu sana kuzisubiria naishia mb 190. nkiri kule kuna drama ina hadi mb 60,
Guyz tumien telegram kudonwloadia achanen na izi link hasa kw ndg zng wa vitonga, telegram unapata movie quality na Ata km mtandao hauko poa movi haicancel inaendelea ilipoishia
 
Guyz tumien telegram kudonwloadia achanen na izi link hasa kw ndg zng wa vitonga, telegram unapata movie quality na Ata km mtandao hauko poa movi haicancel inaendelea ilipoishia
Kwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tena
 
Wakuu nimedownload Pachinko episodes sasa nimeangalia episode ya kwanza naona ipo slow siilewi hivi. Kwa walioiona vipi ni nzuri huko mbeleni au niitupe kwa dustbin
Hiyo drama ikikushinda achana nayo tu mimi nwenyewe niliona nyotanyota nikaikacha yaani ipo kama ile michezo ya Kibongo ya mchana ITV[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kuna saa tatizo sio mb tatizo ni muda wa kusubiria drama ishuke yote. Mb 200 siku hizi naona uvivu sana kuzisubiria naishia mb 190. nkiri kule kuna drama ina hadi mb 60,
Enewei n sw lakn me kw episode 1 km quality yk ipo chn ya 200 MB siwez angalia ata iwe nzur vp zaid sn ntaitafuta yeny quality nzur naangalia.
Kwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tena
Sijajua km n sim au vp lakn me telegram ndo kila kitu ata km movie ina 2 GB telegram chap kwa hrk
 
Kwenye kitonga telegram ndio haifai kabisa network ikikata kidogo tu na yenyewe inastop hati uclick tena
Kwa kitonga me nawez kushusha mzigo wa ep 16 kwa usk m1 200 MB+ pa episode telegram. Wireturn is something inahitaj tu baadh ya vitu kupg kaz me Hua na kiburi ata cha kudownload Episode HD 500MB+
 
Kitonga cha Wiretun sijawahi kukikubali ile shughuli ya kucheza na kindege si ya kitoto labda uniambie kuna namna unafanya kuiset bila kutegemea kucheza na kindege
 
Za vijijini mpaka sasa nimesaka nyingi ila bado hakuna kama six flying dragons
1.Jumong ,hii iloonyeshwa ITV miaka ya nyuma ilivyoisha watu wakaomba iludiwe Capital Tv ikarudiwa na mwaka jana imerudiwa tena ITV .

Ni Koreaan drama pekee ambayo ukirudia unakuwa kama haujawahi kuiona na kila ukirudia lazima utagundua kitu kipya ambacho awali ulipita na kuona kawaida ..
 
Mimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.k
Angalia the veil, my country na tell me what you saw ni 🔥🔥 hutojutia
 
Back
Top Bottom