Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Africa kuna drama au utopolo tu!
Zote hizo nimezionaAngalia the veil, my country na tell me what you saw ni 🔥🔥 hutojutia
Tafuta dokgo rewind au alchemy of souls.Zote hizo nimeziona
Hata hizo pia nimechekiTafuta dokgo rewind au alchemy of souls.
Hivi nyingine iliyo na stori ya kuvutia kama Six Flying Dragons ni ipi??Hiyo six flying dragons ni zaidi ya 🔥🔥, humo utawakuta kina sabong, Ina season 2 inayoitwa hidden root ya kina jang hyuk
Kaangalie a man called god, big mouth au Good bye mr black.Hata hizo pia nimecheki
Hapo nimeona moja tuKaangalie a man called god, big mouth au Good bye mr black.
My countryHivi nyingine iliyo na stori ya kuvutia kama Six Flying Dragons ni ipi??
Kaangalie my country au alchemy of souls hutojutia KataviHapo nimeona moja tu
Na ile Tree With Deep Root au ndio Hidden Root??Hiyo six flying dragons ni zaidi ya 🔥🔥, humo utawakuta kina sabong, Ina season 2 inayoitwa hidden root ya kina jang hyuk
Ok asanteMy country
EeeNa ile Tree With Deep Root au ndio Hidden Root??
Usisahau alchemy of soulsOk asante
Eeee kali sanaaAlchemy of Souls nimeangalia..........hiyo my country ni ya kihistoria??
Naisaka niiangalie wikendi hiiEeee kali sanaa
Zote nimeziona ila Good bye mr black sikuimaliziaKaangalie a man called god, big mouth au Good bye mr black.