Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Ni kam nliskia kwamba wako mbioni kuitoa sasa sikubahatika kufuatiliaKwani season 2 imetoka?
kama vagabond wako mbioni kuitoa season 2Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.
Kwa thriller movies, IRIS 1 & VAGABOND nazipa heshima , japo ni moja kati ya drama ambazo zimeisha KIPUMBAVU sana. Mpaka leo sipati majibu kwanini project kali kama zile walizikamilisha hovyohovyo vile.
Vagabond si watatoa season 2?Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.
Kwa thriller movies, IRIS 1 & VAGABOND nazipa heshima , japo ni moja kati ya drama ambazo zimeisha KIPUMBAVU sana. Mpaka leo sipati majibu kwanini project kali kama zile walizikamilisha hovyohovyo vile.
Hiyo wala msijipe moyo maana tangu imalizike season 1 Lee Seung Gi alikuwa hatarajii kuwa kwenye relationship hadi kaingia,kamvisha engagement ring Bae wake hadi katangaza ndoa na hadi atapokuja kuwa Baba hakutakuwa na matarajio ya season 2.[emoji23]Vagabond si watatoa season 2?
Mradi tu tukujibu utuchambe kipemba...Mimi binafsi umenikosaMwaka 2023 umeingia, kuna watu bado wanaangalia wakorea.
Haya ni matumizi mabaya ya muda kwa mtanzania hususani wakati huu tunao ongozwa na kiongozi bora mama samia suluhu mtoto wa kizimkazi.
Si ajabu kuna watu humu ndani hawauawahi kuangalia hata royal tours.
Karibuni vitani, mtetezi wa bibi nimekuja
Si ungelikaa kimyaMradi tu tukujibu utuchambe kipemba...Mimi binafsi umenikosa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwaka 2023 umeingia, kuna watu bado wanaangalia wakorea.
Haya ni matumizi mabaya ya muda kwa mtanzania hususani wakati huu tunao ongozwa na kiongozi bora mama samia suluhu mtoto wa kizimkazi.
Si ajabu kuna watu humu ndani hawajawahi kuangalia hata royal tours.
Karibuni vitani, mtetezi wa bibi nimekuja
Mradi tu tukujibu utuchambe kipemba...Mimi binafsi umenikosa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi sitaki stress hapa nasubiria tu episode 12 ya mwalimu wa mathe....unadhani mzigo huu utaenda hadi 16 au tunaishia 12?Vayolens mode ipo ON hapa
Mpemba aseme SU/NAWAITU [emoji1787]
Namshabikia kwa maslahi ya watanzania wote, mimi si chawa wake wala kunguni wake.Umelipwa sh ngapi huko nasi tushawishike?
Unakula ugali, maharage, bamia, soda, pombe, juisi n.k kila leoWakorea wanatulipa furaha na makjang zao angalau tunajitoa kwenye orodha ya watu wenye huzuni duniani
Vayolese baki nazo mwenyeo.....Vayolens mode ipo ON hapa
Mpemba aseme SU/NAWAITU [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi sitaki stress hapa nasubiria tu episode 12 ya mwalimu wa mathe....unadhani mzigo huu utaenda hadi 16 au tunaishia 12?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unakula ugali, maharage, bamia, soda, pombe, juisi n.k kila leo
Pengine una mchumba wa kiume au mume halafu bado una huzuni.
Huenda Unafanya kazi katika taasisi nzuri
Kama wewe una huzuni jamii ya watu wa syria, ukraine, libya, tigray watakuwa kundi gani
Haiwezekani
Vayolese baki nazo mwenyeo.....
Karibu urojo na mishikaki ya kuku wa uturuki
Team Samia hao huwaambii kitu kwa huyo wanayemuita Mama.Sasa mtetezi wa Mama hivyo ndo vitu unamtetea navyo
Vyote vinatia huzuni hapo [emoji16]
Ukitoa la taasisi nzuri
Na inaliza ukijua haupo katika nchi hizo na unaishi hivo[emoji24]
Team Samia hao huwaambii kitu kwa huyo wanayemuita Mama.
Nikiwa free baada ya kazi siwezi tazama utopolo mwingine,ni kdrama tu hivyo vingine tuwaachie hao wazalendo[emoji23]
Team Samia hao huwaambii kitu kwa huyo wanayemuita Mama.
Nikiwa free baada ya kazi siwezi tazama utopolo mwingine,ni kdrama tu hivyo vingine tuwaachie hao wazalendo[emoji23]
Tuwaachie kwakweli
Maana unaweza kujikuta watu wanakusoma kwenye historia baadae[emoji16]