Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.

Kwa thriller movies, IRIS 1 & VAGABOND nazipa heshima , japo ni moja kati ya drama ambazo zimeisha KIPUMBAVU sana. Mpaka leo sipati majibu kwanini project kali kama zile walizikamilisha hovyohovyo vile.
kama vagabond wako mbioni kuitoa season 2
 
Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.

Kwa thriller movies, IRIS 1 & VAGABOND nazipa heshima , japo ni moja kati ya drama ambazo zimeisha KIPUMBAVU sana. Mpaka leo sipati majibu kwanini project kali kama zile walizikamilisha hovyohovyo vile.
Vagabond si watatoa season 2?
 
Mwaka 2023 umeingia, kuna watu bado wanaangalia wakorea.

Haya ni matumizi mabaya ya muda kwa mtanzania hususani wakati huu tunao ongozwa na kiongozi bora mama samia suluhu mtoto wa kizimkazi.

Si ajabu kuna watu humu ndani hawajawahi kuangalia hata royal tours.

Karibuni vitani, mtetezi wa bibi nimekuja
 
Si ajabu kuna watu humu ndani hawauawahi kuangalia hata royal tours.

Karibuni vitani, mtetezi wa bibi nimekuja
Mradi tu tukujibu utuchambe kipemba...Mimi binafsi umenikosa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2023 umeingia, kuna watu bado wanaangalia wakorea.

Haya ni matumizi mabaya ya muda kwa mtanzania hususani wakati huu tunao ongozwa na kiongozi bora mama samia suluhu mtoto wa kizimkazi.

Si ajabu kuna watu humu ndani hawajawahi kuangalia hata royal tours.

Karibuni vitani, mtetezi wa bibi nimekuja

Umelipwa sh ngapi huko nasi tushawishike?

Wakorea wanatulipa furaha na makjang zao angalau tunajitoa kwenye orodha ya watu wenye huzuni duniani

Haya twendee
 
Umelipwa sh ngapi huko nasi tushawishike?
Namshabikia kwa maslahi ya watanzania wote, mimi si chawa wake wala kunguni wake.

Ni kama wewe unavyoshabikia wavimba macho, je na wewe unalipwa na hao wavimba macho.
Bila ya shaka hapana.

Una jengine
 
Wakorea wanatulipa furaha na makjang zao angalau tunajitoa kwenye orodha ya watu wenye huzuni duniani
Unakula ugali, maharage, bamia, soda, pombe, juisi n.k kila leo

Pengine una mchumba wa kiume au mume halafu bado una huzuni.

Huenda Unafanya kazi katika taasisi nzuri

Kama wewe una huzuni jamii ya watu wa syria, ukraine, libya, tigray watakuwa kundi gani

Haiwezekani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi sitaki stress hapa nasubiria tu episode 12 ya mwalimu wa mathe....unadhani mzigo huu utaenda hadi 16 au tunaishia 12?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Hahahah

Jana ilinipa stress ep 11 na download zote yenyewe hadi muda unaisha iko 120 kidogo niinunulie bundle ila leo nnayo sasa
 
Unakula ugali, maharage, bamia, soda, pombe, juisi n.k kila leo

Pengine una mchumba wa kiume au mume halafu bado una huzuni.

Huenda Unafanya kazi katika taasisi nzuri

Kama wewe una huzuni jamii ya watu wa syria, ukraine, libya, tigray watakuwa kundi gani

Haiwezekani

Sasa mtetezi wa Mama hivyo ndo vitu unamtetea navyo

Vyote vinatia huzuni hapo [emoji16]

Ukitoa la taasisi nzuri

Na inaliza ukijua haupo katika nchi hizo na unaishi hivo[emoji24]
 
Team Samia hao huwaambii kitu kwa huyo wanayemuita Mama.

Nikiwa free baada ya kazi siwezi tazama utopolo mwingine,ni kdrama tu hivyo vingine tuwaachie hao wazalendo[emoji23]
 
Tuwaachie kwakweli

Maana unaweza kujikuta watu wanakusoma kwenye historia baadae[emoji16]
 
Kila nikiangalia ID zenu siwamalizi si nimedondokea kwenye realities mazima 😂😂😂😂😂😂. Zile list mlizoweka hapa naenda nazo kimya kimya Wiki ya pili sasa nasumbuana na sixth sense season two,na mi mb ya kimoi nakomaje kusubiria😂😂😂😂 na kuitosa nimeshindwa. I miss my family drama world

Back
Top Bottom