Hiyo bado haijathibitishwa na hata ikitokea usishangae kuona waigizaji ni wengine.kama vagabond wako mbioni kuitoa season 2
Kila nikiangalia ID zenu siwamalizi si nimedondokea kwenye realities mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Zile list mlizoweka hapa naenda nazo kimya kimya Wiki ya pili sasa nasumbuana na sixth sense season two,na mi mb ya kimoi nakomaje kusubiria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuitosa nimeshindwa. I miss my family drama world
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ulimwengu ni wa kipekee
Karibu tu realities
Yani mimi kila siku naanza mpya
Huku ndo una enjoy korean sense of humour
Na raha utizamie kwa 720 au 1080p
Sasaivi natizama peak time na boys planet (ongoing)
Street Woman fighter - honey j nlikua namuona kwenye i live alone but wow what a dancer
Weekly variety
King of mask singer
Running Man
I live alone (my fav
Nataka nianze Mr Trot naipenda hii genre yao ya mziki
Ambazo natizama once in a while
Immortal Song
Master in the House
Iyo sixth sense yupo jessi eeh
Yani huyo dada mcharuko kama gabee sijui umarekani.
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.Haa zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee yupo jessi kila nikimuangalia mdomo kama kaufanyia surgery naona kazoea umarekani hivyo kajiachia balaa
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ulimwengu ni wa kipekee
Karibu tu realities
Yani mimi kila siku naanza mpya
Huku ndo una enjoy korean sense of humour
Na raha utizamie kwa 720 au 1080p
Sasaivi natizama peak time na boys planet (ongoing)
Street Woman fighter - honey j nlikua namuona kwenye i live alone but wow what a dancer
Weekly variety
King of mask singer
Running Man
I live alone (my fav
Nataka nianze Mr Trot naipenda hii genre yao ya mziki
Ambazo natizama once in a while
Immortal Song
Master in the House
Iyo sixth sense yupo jessi eeh
Yani huyo dada mcharuko kama gabee sijui umarekani.
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.
Yupo straight sana allkuwa anamtogoza live kabisa[emoji23]
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.
Sasa Mijoo huwa mambo yake akianza hata Jae Suk na Jessi hawawezi kabisa kumhandle ili atulie.
Jessi gani mnamzungumzia, yule rapper aliyezaliwa marekani?Haa zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee yupo jessi kila nikimuangalia mdomo kama kaufanyia surgery naona kazoea umarekani hivyo kajiachia balaa
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.
Yupo straight sana allkuwa anamtogoza live kabisa[emoji23]
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.
Sasa Mijoo huwa mambo yake akianza hata Jae Suk na Jessi hawawezi kabisa kumhandle ili atulie.
Jamaa flani utamuona humo Sixth Sense pia ni actor kacheza drama nyingi kwa sura unamjuaNdo maana huwa aki twerk haliruki[emoji1787]
Embu huyu sangyeob ndo yupi tena
Ndo maana huwa aki twerk haliruki[emoji1787]
Embu huyu sangyeob ndo yupi tena
[emoji1787][emoji1787]kama huyo kamzidi jessi basi ni kiboko
Nimeshusha sixth sense sasa[emoji91]
Jamaa flani utamuona humo Sixth Sense pia ni actor kacheza drama nyingi kwa sura unamjua
Hapo ndo mahali wanazinguagaHiyo bado haijathibitishwa na hata ikitokea usishangae kuona waigizaji ni wengine.
Jibu fupi sana nimecheka maana angekua mdada ungemuelezea mpaka drama alizocheza
Mimi nikiwa kama fanboy sijabase sana kwa actors wa kiumeJibu fupi sana nimecheka maana angekua mdada ungemuelezea mpaka drama alizocheza