Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jana ulivyomponda Jimin kama ndio ulikuwa umeniroga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jana nimechelewa kulala kisa kuangalia videos za Jimin huko insta. Hapa nilipo kichwani kwangu ni Jimin Jimin Jimin....hadi mababe zangu wengine wako pending
 
Pale BTS nawaelewa members wote kasoro yeye,hasa Jin hajiweki kama mwanamke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mkuu shukrani kwa ile list uliyonipa a thousand days promise ni Kali
Hii ngoja niitafute.

Mimi huwa nafukuza mwizi kimyakimya, nikona unaisifia sana drama naitafuta na sijawahi kukuta ni mbaya maana genre unazopenda ndio hizo zangu.

Kasoro kwenye Innocent defendant, mimi huwa naiona ni ya kawaida sana tofauti na hype ambayo huwa unaipa.
 
Ila wakorea wamezidi bwana duuh yaani hata nguo mimi naona haziwapendezi kwa sababu wapo flat mno...mbele na nyuma kunafanana loh
Lakini kwao huo ndo uzuri, tena hawana muda kabisa na mwanamke mnene.

Kule urembo wa mwanamke unaanzia kwenye uzito, yani kukuta mwanamke 30-45 yrs akiwa na uzito wa 45Kg ni kawaida sana.
 
Lakini kwao huo ndo uzuri, tena hawana muda kabisa na mwanamke mnene.

Kule urembo wa mwanamke unaanzia kwenye uzito, yani kukuta mwanamke 30-45 yrs akiwa na uzito wa 45Kg ni kawaida sana.
Siongelei unene mimi naongelea umbo la kike...yaani wao mwanaume na mwanamke nyuma huwezi kuwatofautisha...huku kwetu mwanamke hata akiwa mwembaba tunyama kidogo tupo...muangalie Mange, huwa anajitahidi sana kumaintain uzito wake usizidi 50 ila ukimuangalia kaumbo kanakoonesha yeye ni mwanamke kapo.
 
Ukiachana na hao niliamua kujikita kwenye girl groups maana siwezi kuwatambishia wana Idols wa kiume ambao licha ya muonekano waliopewa wanaongezea earrings
Mwanzoni hilo hata mimi lilinipa shida, hasa Jungkook...baadae nikawazoea naona kawaida tu
 
Ukiachana na hao niliamua kujikita kwenye girl groups maana siwezi kuwatambishia wana Idols wa kiume ambao licha ya muonekano waliopewa wanaongezea earrings

Kama hizi survival show unakuta wamekuja hata mafuta uso hauna
Wengi wana sura ngumu ila wakishajua make up hata kutoka kurembwa hawajiamin

Umkute song mino judge na yule anaeamka kwenye i live alone hatari

Hadi songyeob alivokua anapaka lipstick ya pink uwiii akati he so fiiiiiiiiine
 
Hata mimi nimeona hiki kitu
beauty standard inatofautiana kutoka nchi moja mpaka nyingine i think wakorea hasa kwa watoto wakike vijana(16-30 age) ukizidi uzito 55kg wewe nikibonge nahaufit beauty standard yao, pia hata kama wewe sio mweupe xana (pale) bado haufit beauty standard yao....kama wiki iliyopita nilikuwa youtube kunamdada mmoja from germany alikuwa akihojia akilalamika kupata nguo zinazomfit anapoenda kununua nguo sababu nguo nyingi nyembamba....
 
Asante bibie nakuongezea na hii "Whisper" ina story Kali mno
 
Basi tupo pamoja nakupa nyingine cheki hii The Glory ni moto ina season 1 na 2 na nyingine inaitwa whisper ni 🔥 ina story Kali Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…