Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yah nakuwaga sipo comfortable kutamba kabisa napenda kuwaona ndani ya Elegant style.

Oh Nara ni mtu mzima yule lazima afoke ila Mijoo bado utoto unamsumbua,Jessi anajifanya bado kijana wakati anakimbiza 38 soon kama sikosei

Kikweli
Ukisema kuhusu oh nara na kuwa girlfriend kwa miaka 22

Nilikua na msearch huyo do hoon
 
Yah GL tena hot too much kila kitu wazi kasoro reproductive parts tu.

Alipewa kazi ya kumfundisha mtoto mmoja wa Kijapan baadhi mambo ya faragha kwa sababu soon alikuwa anatarajia kuolewa kilichotokea yule mtoto akapatwa na tamaa za kimwili bwana wakawa wanapasha aisee[emoji23][emoji23]

Dah
Pale unapinga lgtbq alafu unakutana na msimuliaji kama wewe, iman inatingishika[emoji3]
 
Dah
Pale unapinga lgtbq alafu unakutana na msimuliaji kama wewe, iman inatingishika[emoji3]
Mimi sikubali hiyo jamii hata kidogo,hiyo movie sikutegemea kama ntakutana na hivyo vitu kama ilivyokuwaga Frozen Flower.

Nashukuru Mungu hadi sasa sijakutana na content ya BL ni aibu kumuona mwanaume mwenzangu eti ana hisia na mwanaume mwenzie.
 
Kuwakariri wadada huwa kazi ngumu sana kwangu ila vimkaka kazi rahisi mno. Drama nyingi huwa navutiwa na vihandsome kwanza kisha kiss scenes zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna watu wepesi kuwatofautisha kama wadada huwa nacheza na macho yao,eyelids na pua tu

Labda kwa sababu ya uzoefu wangu kama fanboy.
 
Ila vidada vya Kikorea vina vitako vidogo sana. Sijui ndo nature yao [emoji1787][emoji1787]
Uzuri wa mwanamke ni reception mfano unatokea mnatokea nja mbili tofauti paap mnagongana macho pale ndio pa kurate uzuri sio hadi ukimbilie nyuma yake kutazama uvimbe ule.
 
Ila vidada vya Kikorea vina vitako vidogo sana. Sijui ndo nature yao [emoji1787][emoji1787]
Nilichogundua kila sehemu na taste na utamaduni wao, kule Korea ili utambulike kama mrembo hutakiwi kuwa mnene, yani unatakiwa uwe kimbaumbau mrefu ndo tuanze kujadili sura yako.

[emoji1][emoji1]
 
Naona team "kataa ndoa" wameungwa mkono na UMOJA WA WAKOREA.[emoji23]
Screenshot_20230317-222950.jpg
 
Back
Top Bottom