Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mambo ya kujilazimisha kuangalia drama [emoji1787][emoji1787] nipo naangalia Fiery priest vile ilisifiwaga humu ila Sina mzuka nayo kabisa yani[emoji16]

Ukisikia Kismati ndo hiyo drama
Hata huyo Actor akafanya guest Appearance nyingi kisa hiyo eti

Mi ilinshinda sijui ep ya ngapi pia hasa umcharuko wa FL sikuuelewa
 
Ukisikia Kismati ndo hiyo drama
Hata huyo Actor akafanya guest Appearance nyingi kisa hiyo eti

Mi ilinshinda sijui ep ya ngapi pia hasa umcharuko wa FL sikuuelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani huyo FL ndio ananikera balaa yaani simuelewi hata. Niliwahi kuangalia episode 2 nikaacha sasa hivi nimeangalia mpaka episode 4 jimeshachoka ngoja tu niishie hapa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliona mtandaoni wanaipondea ila nitaijaribu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mapembe ya moto.Evil one huwa namuinjoi kwenye family dramas yupo vizuri
Alivyotoa mapembe tuuu yule msanii mwingine
Nikasema now this is enough
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jaman navyompenda evil one na ML alafu kuchagua drama ile [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…