Bora! Deborah!Inaitwaje?
Nipo hapa sijakosa hata sehemu moja now tushamjua watchmanNani anaifatilia the secret romantic guest house?
Japo sipendi thrilling drama ila hii unatamani uangalie ujue kinachofata[emoji1787][emoji1787]
Chukua kissasian haizidi mb 300Idd menu Hwajung hope mzanzibar hatakausha mualiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegive up Yi san sababu ya mb nyingi kule dramacool na episode tele.
Napenda saba ikipita hata siku 3 bila kupitia hapo huwa akili inarukaNa ukikuta mpaka mmetizamana ujue ile spark imehappen kote ndo uthaminishe sasa
Awww[emoji3059] [emoji1787]
Ila wakorea washukuliwe kwa kutu imaginisha mapenz high standard
Wapenzi kwa kpop tumempoteza Moon Bin wa ASTRO akiwa na miaka 25[emoji174]View attachment 2593308
Sijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia haina hata romance.
🤣🤣🤣🤣🤣Sijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia hata hata romance.
Drama hata iwe thriller ama action isipokuwa na beautiful moment huwa nikitazama nachoka haraka
shukrani nitajaribuWapenzi kwa kpop tumempoteza Moon Bin wa ASTRO akiwa na miaka 25[emoji174]View attachment 2593308
😂😂😂😂😂😂raha ya drama romanceChukua kissasian haizidi mb 300
Sijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia haina hata romance.
Drama hata iwe thriller ama action isipokuwa na beautiful moment huwa nikitazama nachoka haraka
Sijaiangalia
Mimi pia napenda romance ila kuna wakati huwa nazichoka ndio najipumzisha hapo kwenye ambazo hazinaSijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia haina hata romance.
Drama hata iwe thriller ama action isipokuwa na beautiful moment huwa nikitazama nachoka haraka
Mi sijafika bado kwa watchman ndo nataka niianze episode ya 3🤣🤣🤣🤣Nipo hapa sijakosa hata sehemu moja now tushamjua watchman
Under the Queen's umbrellaTangu mwaka uanze nilipumzika kuangalia K-drama sasa nataka nirudi mzigoni. Naomba recommendation ya historical drama zilizotoka mwaka huu
Alchemy of soul nimeangali. Katika zilizobaki Ipi nzuri zaidiUnder the Queen's umbrella
Alchemy of souls 1&2 ( hii ni fantasy)
Our blooming youth
Forbidden marriage
Nimekutajia nilizoangalia mimi pamoja na zile ambazo nina mpango wa kuziangalia