Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Mimi ongoing nayofatlia nimeanza na Family ya my Favourit duo Jang hyuk na jang nara

Oasis na the real has come nilianza nikastop

Ila sababu ya ramadhan muda ulikua finyu na ibada za hapa na pale

Now i’m baack so i will take hizo kama recommendations.

Ila throughout nilifanikiwa kuitazama Younglady na Gentlemen na weekly variety show zangu[emoji2960] ‘ i live alone na mask singer.
 
Hii Yi San nilijaribu kuifuatilia kwenye sites ambazo hazitumii Mb's nyingi, nikaipata KimoiTv tu ila ilikuwa ni raw nikalazimika kuitafuta dramanice kwenye Mb's kidebe.

Ilikuwa ni mwaka jana sijui kwasasa, labda tayari wameiwekea subtittles.
Angalia mkuu Pandora beneath the paradise hii ndio kiboko ya yote ukiachana na big mouth hii ndio inayofuata kwa ukali kwa mwaka Huu kwa Maoni yangu ina story Kali, ina mtiririko mzuri wa matukio, ina hamshahamsha kuanzia Mwanzo mpaka mwisho
 
Family wapi umepata ambayo ipo subbed?
 
Family wapi umepata ambayo ipo subbed?

Nkiri na dramanice zote iko subbed
Ila ni majanga

Niliishusha kwa nkiri nikahis wamekosea nikaishua kwa dramanice hali hiyohiyo

Wanasema disney wamenunua international rights za kuonyesha so hata suala la ku sub lipo chini yao, ni worse

Yani na kikorea cha kusikia hapa na pale na unagundua makosa
 
Niliona malalamiko kama haya,haina budi kusubiri mpaka itakapooneshwa na kuwa subbed kwenye platforms zingine,wanaisifia ni nzuri sana ni kweli?
 
Niliona malalamiko kama haya,haina budi kusubiri mpaka itakapooneshwa na kuwa subbed kwenye platforms zingine,wanaisifia ni nzuri sana ni kweli?

Ni nzuri
Unapata taste za jang hyuk akiwa serious na funny

Though kuna scene niko uncomfortable ila sio sehem kubwa

Mwenyew nataman kusubiri kama kutakua na marekebisho

Maana wanachanganya hadi she/he, you/I
Oppa sub inaandika big bro na hapo mtu na mkewe wanaitana

Wanatumia tafsir si si si sijui[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787]Wanakwama wapi hao,ndio zile Wanakuambia fighting!
 
mmmh i live alone,mask singer episode kama zote,
 
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki hata kuiona hiyo drama sijui show...watakuwa wametumia google translate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…