Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki hata kuiona hiyo drama sijui show...watakuwa wametumia google translate
Hapo kwenye kutafsiri kila kitu nimeona hasa drama za Netflix (za hivi karibuni) eti door closing, laughs, footsteps approaching yaani wananiudhiYan hapa niangalie ile tree maana hata sielew nani baba mzaz nan mkwe, yan mvurugano
Sehem wanazotafsir vizur kila muhemo yan utaona angry sigh mara confused sigh mara moan as if mtu husikii[emoji1787][emoji1787]
Lee Yo-won - WikipediaYule binti aliyeigiza kama Queen seon deok je anajua jina lake halisi?, Je aliigiza drama gani zaidi ya ile queen seon deok?
Watchman ni nani na prince ni nani mim nishachoka kuiendelezaNipo hapa sijakosa hata sehemu moja now tushamjua watchman
Hii comment nimerudi kuitafuta leo, ama hakika ilipeleka kwenye drama ambayo nafurahi sana kuifatilia.Hii drama Cha Seung Won(Gwanghae) utampenda episode zile akiwa tayari mfalme hata hivyo kama sikosei ni episode ya 30 alikuwa dethroned akapigwa exile ndio hakuonekana tena.
Princess Jeongmyeong(Lee Yeon Hee) na Hong Joo Won(Seo Kang Joon) ndio main characters
Ila drama kali sana hii
Watchman ni Kim Shi Yeol kama unavyojua kazi ya watchman ni kumlinda kwa karibu Lee Seol ndio maana jamaa alikuwa hachezi mbali na Kang San ambaye ndiye Lee Seol halisi.Watchman ni nani na prince ni nani mim nishachoka kuiendeleza
Ile vita dhidi ya Later Jin(Qing) ndio ilikuwa mwanzo wa kuanguka kwake kutokana na barua ya order aliyoaindika kuwa askari wakifika vitani wafanye maamuzi kutokana na situation hata kukimbia sasa plan ikavuja kwa maadui zake ndani ya jumba la kifalme sasa wakapata sababu ya kumuangusha.Hii comment nimerudi kuitafuta leo, ama hakika ilipeleka kwenye drama ambayo nafurahi sana kuifatilia.
Nipo episode ya 25 ila bado roho haitaki kabisa kuona Gwanghae akiwa dethroned.
Drama yake nyingine niliyoona inaitwa Surgeon Bong Dal-hee ilikua inarushwa na Arirang tv miaka hio.Yule binti aliyeigiza kama Queen seon deok je anajua jina lake halisi?, Je aliigiza drama gani zaidi ya ile queen seon deok?
Jumong, Kingdom of the Winds, A man called god, Emperor of the sea, Jang Yeong-sil, Crime squad, Kimchi family.Wakuu naombeni orodha ya drama zote alizoigiza Song II Gook aliyekuwa star wa Jumong. Jamaa anajua sana aiseee
Ngoja niiweke kwenye orodha. Mimi pia napenda sana drama ambazo mwanamke anatembeza mkono yani[emoji23]Sema single movie za korea ni kali
Hapa nimetoka kuitazama ile recent ya park so dam, mpaka nikaikumbuka Mr sunshine.
Napendaga sana mwanamke akiwa ndo anupiga mkono tena ule wenyew sio vikelele
Aaah kama nizaliwe enz za uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji23] nirushe mkono maana nimefuzu style zote kwa kutizama korean[emoji16]
Hatujambo. Karibu tena kwenye familiaKwanza kabisa nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea( DPRK) .
Kwanza ukimya huu umejawa na mengi sana moja wapo ni majukumu lakini pili kwa takribani mwaka mzima nilikuwa sina access ya kureply au ku like chochote humu Jf. Ila leo nimelifuatilia kwa kina.
@Daemusin upo uko wapi? Vipi hali yako?, wengine vipi hali zenu?
Ni siku nyingi sana nimewakumbuka sana.
Unaongelea drama ipi mkuu?Watchman ni Kim Shi Yeol kama unavyojua kazi ya watchman ni kumlinda kwa karibu Lee Seol ndio maana jamaa alikuwa hachezi mbali na Kang San ambaye ndiye Lee Seol halisi.
Last week kawatembezea upanga kikatili askari wote wa Chief Administrator Jang walitaka kumuua Lee Seol.
Sema kunakoelekea ndio balaa yule jamaa Jung Yoo Ha naye alikuwa ni mtoto wa deposed Crown Prince ila ni illegitimate sasa Lord Shin anataka kumpandisha kama Lee Seol feki achukue kiti cha ufalme.